Alwatanbhai
Member
- May 1, 2013
- 74
- 78
Habari wakuu,Ninatatizo la ndevu kuota upande mmoja ila awali zilikua zinaota sehem yote ya kidevu,wataalam tatizo nini naomben msaada.
Ahahhaa nisaidie mkuu napata tabuDuuuh hyo ni dalili ya kupata utajiri mkuu endelea kuzifuga usinyoe