MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
- Thread starter
- #41
Uzuri Kamati ya PAC iko chini ya kambi ya upinzani.Kwani maelezo ya Asunga ndivyo majibu ya serikali yanavyotakiwa yatolewe kwa mujibu wa sheria? Yaani CAG anajibiwa kwa staili hii?
Mwenyekiti wa Kamati alishatoa taarifa yao haya mengine ni yaleyale ninayoyasema kuwa wapinzani wanatakiwa watengeneze uwongo ulio karibu na ukweli.