Hi Lizzy.... I believe uko poa...Nice thread.
Nakubaliana nawe moja kwa moja na hio paragraph yako ya purple hapo juu. Among the qualities ninayopenda mwenza wangu awe nazo ni mtu anayejujua/jitambua na kujiamini (not over confident).... Because hivyo vitu vinacheza nafasi kubwa kwa a guy kuwa mpole au mkali. A guy ambae anajitambua na kujiamini yuko huru kufanya lolote juu yako cha haki maadamu tu awe atakupenda kwa dhati, na ninaposema lolote nina maana pale unapostahili kupongezwa wewe kama mwanamke wake atakupongeza (sio sifa za kijinga kila saa ooh lips zako sexy, mara miguu yako sijui imekaeje-ndio inaweza ikawa kweli but isiwe issue...). Na pale ambapo umekosea anakubadilikia kwa level tofauti tokana na ukubwa wa kosa ulofanya....
Nimesema hivyo sababu kama katika mahusiano the guy ndo ana an upper hand (sio ya kukubuhu) and he takes care of you kwa his level best kama anakupenda ni lazma a react kutokana na kitu ulichofanya, hivyo kuku treat kama partner wake.... Akiwa mpole kwa kila kitu ina maana kakuchulia kama mtoto akili yako na pia hakuna tension hata kidogo .... Lizzy personaly naweza boreka....
I had to laugh i had no option, lakini si una petroli wewe mimina hata lita 20So you can luff at me??
Hapo kwenye red, kuna wanawake wengine ukiwapa live how they look, they don't like it. Imagine umespend one hour kwenye kioo ukiremba lips zako, halafu unakuja na kuniambia "how does my lips look?" halafu nikujibu not good. Speed utakayoondoka nayo hapo sijui. Lakini wako wengine ambao ni understandable. Kuna mmoja nilimwambia nimezipenda kucha zake za miguu, alishangaa sana b'se wanaume wanamwambia tuu ana miguu mizuri.
UNAJUA NYIE MABINTI MNA MAtatizo sana, mwanamke ukimpenda kupita kiasi na ukiwa mpole sana kwake anakuita *****,zobalangu n.k.na anaweza kukuletea bwana mwingine hivihiviiiiiiiii. ukiwa mkali kila cku unampa kichapo anapokosea,mnasema mnanyanyaswa, ukiwa haueleweki wakati mwingine unakuwa mkali sana wakati mwingine mpole, utasikia oooh, hili bwana langu hata silielewi, sijui lLINANIPENDA KWELI? WALA HALIELEWEKI, MIM "I PREFER TO BE UNPREDICTABLE"
mafahari wawili hawakai zizi moja. Ukiwa mpole unahitaji mume asiye mpole and vice versa. Wote mkiwa wakorofi mtahachana in a month. Na kwa uzoefu wangu wanaume wapole wanapenda wadada machachari, they enjoy being in their company. Mfano mme wangu nikiwa nae nikakaa kimya nusu saa ananuna kabisa, anataka nibwabwaje tuuu.
Na maishani mwangu sijawahi kupenda mwanaume anayejifanya mjanja. Kwa sababu na mimi ni mjanja pia.
Kwahiyo bora umsifie wewe alafu huko nje awe kichekesho???Mi bora niambiwe ukweli ili nirekebishe!Hapo kwenye red, kuna wanawake wengine ukiwapa live how they look, they don't like it. Imagine umespend one hour kwenye kioo ukiremba lips zako, halafu unakuja na kuniambia "how does my lips look?" halafu nikujibu not good. Speed utakayoondoka nayo hapo sijui. Lakini wako wengine ambao ni understandable. Kuna mmoja nilimwambia nimezipenda kucha zake za miguu, alishangaa sana b'se wanaume wanamwambia tuu ana miguu mizuri.
Muhimu ni kutafuta mtu unaeendana nae ili mmoja wenu asiwe muonevu na mwingine muonewaji!!Dah hiyo ishu ya kumwagiana maji ya moto inasikitisha kweli......ni roho mbaya tu ya hao wanawake wala haihusiani na upole wa waume zao!Lizzy uliomba comments toka kwa kina dada tu ,nisamehe bure mi uzalendo umenishinda wacha nipasue jipu.Wengine tukiongea humu huwa tunaambiwa eti tunatetea mfumo dume kumbe na ninyi wenyewe kina mama mnataka baba awe mkali na sio mpole.Mnaona sasa? Mina nina kesi nyingi za baba wapole ambao wameishia kuumizwa na wake zao.Upole upole huu unasikia mama kamzaba mzee vibao,mara kammwagia maji ya moto,mara kampiga na kitu kizito,na kibaya zaidi kina baba wa namna hii huwa wanaficha kinachowasibu na wakiulizwa wanasema 'walianguka kwenye ngazi'akichomwa na maji ya moto anasema ndoo ya maji ilimuangukia etc.Ndo mana bana mi nasema na nitarudia kusema MWANAMKE KULA NAYE,LALA NAYE,OGA NAYE,CHEKA NAYE LAKINI WAKATI WOTE ACHA MACHO YAKO WAZI!!!!!
Style yangu hiyo....tutawezana sana!!!kuna wengine kama mimi mpaka najiogopa...huwa sirushi ngumi wala khanga, akinikosea au kafanya makosa huwa simbakizi hata kidogo. nitaongea naye na kumsema live mpaka anaweza kulia, can u handle me lizzy?
Hahah eti ananuna kisa huongei.....huku wenzake wananuna kwasababuwakwao hawaachi kuongea!!mafahari wawili hawakai zizi moja. Ukiwa mpole unahitaji mume asiye mpole and vice versa. Wote mkiwa wakorofi mtahachana in a month. Na kwa uzoefu wangu wanaume wapole wanapenda wadada machachari, they enjoy being in their company. Mfano mme wangu nikiwa nae nikakaa kimya nusu saa ananuna kabisa, anataka nibwabwaje tuuu.
Wakati nakesha mkuu...lol
Arguing with mr. nanii will only give me a headache!
Usisahau napenda mito mingi na mziki kwa sana!