Upole!!

Asante mzee DC.....najifunza taratibu!
 
Kikubwa kwenye uhusino ni matching tu (compatibility). Jaribu kuangalia couples ambazo zinahuhusiano wa kudumu lazima utakuta wana tabia opposite, mmoja akiwa mlevi, mwingine hanywi, mmoja mzungumzaji - mwenzie mkimya, maisha yanaenda. Sasa kuta wote waongeaji ndo unakuta wakianza zogo mpaka mtaa wa tatu.
 
Unaweza kumsifia still akawa kichekesho huko nje.
Kama hukumdanganya kwamba kapendeza sawa tu...ila ukimdanganya aibu yake inakua yako!!
 
Wapi sasa???Nwy popote pale bado nakusikiliza....

okey . . . labda si wakat wake
ngoja niendelee kupata mawaiza ya akina babu mzee DC na mzoefu Bishanga . . .
 
mie kumtest demu wangu huwa nachonga deal na polisi wanikamate na bangi halafu nampigia cmu nimuone je atawezaje kuja kuongea na polisi ili waniachie
 
Reactions: EMT

Pamoja na compatibility nadhani kinachomatter zaidi ni compromise. Sidhani kama kuna mwanamke anayependa kuolewa na kuishi maisha yake yote na mume mlevi. It is because of compromise that maisha yanaenda. Uhusiano bila compromise hauendi. Binadamu wote sio sawa. Pia kumbuka you are from Venus, we are from Mars. We just met at the Earth.
 
mie kumtest demu wangu huwa nachonga deal na polisi wanikamate na bangi halafu nampigia cmu nimuone je atawezaje kuja kuongea na polisi ili waniachie
Je akitoa hongo ya mapenzi kwaajili yako utamuelewa??
 
<br />
<br />
Umeanza lini kusoma ktkt ya misitari?

Usiwe mwepesi kusahau mamii wangu
Mwaka '93 wakat na-graduate std 7 ulunipa usia gani wakat najiandaa na pepa?
 
mie kumtest demu wangu huwa nachonga deal na polisi wanikamate na bangi halafu nampigia cmu nimuone je atawezaje kuja kuongea na polisi ili waniachie
<br />
<br />
Ha ha ha ha nimecheka mpaka nataka kufa
 
Je akitoa hongo ya mapenzi kwaajili yako utamuelewa??

umemuweka kwenye kona nzuri kweli na hili swali. Umenikumbusha siku ambayo kidogo nimchape polisi ambaye alinikamata kwa kosa la kutembea usiku na dada angu. Waliongezeka wawili muda mfupi na kutukamata. Wakatupeleka kituoni, mimi wakanisweka ndani, sista wakawa wanaongea nae kaunta. Walimuomba rushwa ya ngono sista ili watuachie
 
Reactions: EMT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…