Kwa nn asiamue kuondoa huo ulinzi anaogopa nn?Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Muongezeeni ulinzi Juliana Shonza ,Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Haya ndio majibu mubashara kabisa.Aondoe tutawalinda.
michango kwa lisu tumeweza sembuse ulinzi tu.
Nilisikia eti ubongo wako ulijam ukawekewa belingi.Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Barbarosa, akifanya hivyo ndio udikiteita huo. Doing things contrary to rule of law!Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Yale yale ya Sadam kuwa rais wa Kuwait...yaani hawa watu kwa uongo! Eti sukari ilikuwa 5000 kwa kilo! Hizi zote ni laana na itawatafuna kweli kweli!HALAFU WEWE MLETA MADA NI MWONGO NA MNAFIKI, Raila Odinga hajaondolewa staili yoyoye na serikali, anapeta tu kwanza ndo kwanza kaongezewa.
Mtu yeyote mwenye akili, a rational man, hawezi kukosa kumlaani huyu jamaa!Namkumbuka vizuri mtoa mada,hapo mwanzo alikuwa akitoa nyuzi anajaza ukurasa mzima lakini leo nashangaa ameanzisha nyuzi ina mistari minne tu.nafikiri tutaelewana tu huko mbele maana sikuhizi hata lizaboni kapotea,faiza naye anazoom akiwa kwa mbaaali.mimi mwenyewe nilimchagua lakini ukikaa chini ukapima mmh tumelamba GARASA.
Na hilo jambo unaliona la maana saaana? Hao walinzi ni wanadamu tu amlindaye mtu kwa usalama ni Mungu tu. Tatizo lenu mnajiona miungu watu fulani hivi. But mnajidanganya tu. Hebu jiulize 38 bullets kumuingia mtu halafu zisikutane na moyo wa mtu au kichwa chake. Ni nani huyo aliyemlinda kama Siyo Mr God? TafakariRaila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...