We hujui siku ya hatari ndiyo utamu unakuwa mwingi embu msitunyase hata sisi tuna genye loh
basi ndio hapo nasema ni kiherehere chao wale wote wanaopata mimba kabla ya ndoa.
Kwasababu wao wanafikiria kukitulia kinapoanza kutoa machoz
Good..!! Kwahiyo wewe ukiwa jeuri?Dawa ya mwanamke jeuri ni kumuolea mwanamke mwingine na dawa ya mwanaume bahili ni kumtafutia mwenye pesa zaidi yake. hahaa hahhaa!!!!!
sio maneno yangu mie.
Duhhhh yaani ndio umempoteza rafiki yako , huo mchepuko nao ukianza wenge basi jamaa ata dead fasta
Good..!! Kwahiyo wewe ukiwa jeuri?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Miss chagga mbona unaongea kama mwanamke alieachika? Usinielewe vibaya nauliza tu.Kwa sababu sisi hatuna nyege au hatusimamishi au akili za juu haziamii chini kama wewe unaweza kutokewa na yote hayo pia sisi tunaweza ukiona hivyo tumia condom au mwaga nje au acha kabisa kutugusa gusa
mbwa mwenyewe wewe
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Unaweza kumshauri amdhibiti mkewe, kumbe jamaa anapenda kudhibitiwa.
Miss chagga mbona unaongea kama mwanamke alieachika? Usinielewe vibaya nauliza tu.
Yaani mtu anahangaika na mambo ya mtu utafikiri yeye hana yake yanayotaka uangalifu wake!
Tatizo la ukosefu wa ajira hujidhihirisha kwa namna nyingi sana.
Mimi nina miripoti ya kuandika kuhusu malaki ya assets yenye thamani ya makumi ya mamilioni ya dola na kubeba habari zenye thamani ya mabilioni ya dola kwa tight deadlines zinazoangaliwa na regulatory bodies na external auditors, nitapata wapi muda wa kumuangalia fulani anaishije?
Nawachukia watu wapole maana always wana two sides
Tafadhari babu usichokonoe mtima wangu,, mimi nishawahi kukufanyia ujeurii????
Mimi nawaambia wanaume wenye wanawake wajeuriii
Chonde laazizi usiniue kwa puresha mie.
Hata hujanifanyia jeuri kipenzi changu.... Nimeshakuelewa vizuri sana staki hata nipate presha na wala staki kukupoteza mpenzi..!!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Niliona umeanza ukali nikajua babu umepata mwingine huko unakojifanya unasimamia vibarua.