Upole unawagharimu wanaume wengi


A cha kujifanya mjuaji kwa mambo ya wenzako uskute wakwako anagongewa kitandan kwako.
 
Yaaani unafundisha kuwa na nyumba ndogo ndio upole unaisha vipi ? na huyo akianza mapepe ina maana jamaa atakawa na nyumba ndogo ngapi sasa.

Shehee usiweke mayai kapu moja.
Hawa viumbe ni wakuwavuruga tu
Tunawaheshimu sababu ya kuzaa only
Ila ni zaidi ya mbwa hawa.
 
Una umri gani mtoa mada? Maana nahisi unaelezea fantasy yako tu.
 
mimi naona ni sawa tu ila angetakiwa ampe taarifa ukiendelea hivi nakua na mchepuko
 
Huyo jamaa hicho cheo kanisani wamempa kwa ajili ya pesa au? Mbona Bible imesema kabisa tuishi nao kwa akili? Na huyo mwanamke wake ananuna nuna ndio maana anamsumbua. Amchokoze chokoze mpaka awe anaongea, kwa sababu wanasaikolojia wanasema mwanamke anatakiwa aongee maneno atleast 75,000 kwa siku. Kinyume cha hapo lazima atakuwa na usumbufu wa kijinga.
 
Wewe bwana Majaribu ni mtu wa hovyo kweli. Badala ya kumsaidia rafiki yako kupata suluhisho la ndoa yake unamwanzishia tatizo lingine kwa kitendo cha kumtafutia mchepuko!!!!!!!!!!!!????????/.
 
Shehee usiweke mayai kapu moja.
Hawa viumbe ni wakuwavuruga tu
Tunawaheshimu sababu ya kuzaa only
Ila ni zaidi ya mbwa hawa.

Heee!!!!! wew una mama????????
dada, shangazi, n.k??????????????
mmmmhh!!!! nini wasiwasi na malezi yako kwa kwel khaa!!
 
Kweli mleta mada ni kichwa maji, huo mchepuko nao ukianza kum-drive kuliko mke wake utamsaidiaje? manake upole ni asili ya mtu. We jamaa sio wa kuombwa ushauri kabisa.
 
Shehee usiweke mayai kapu moja.
Hawa viumbe ni wakuwavuruga tu
Tunawaheshimu sababu ya kuzaa only
Ila ni zaidi ya mbwa hawa.

Oa mbwa maana ndio unafananae kiakili mpk kimwili acha wanaume wenye akili zao wadili na wanawake binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…