Upo wapi muda huu?

Upo wapi muda huu?

Aisee uzi una makusudi huu[emoji848][emoji848] na cjuagi kudanganya. NIPO NAJIPIKIA nikimaliza najikaribisha "karibu chakula bebi"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swali lako linanitonesha vidonda.

Ni siku kadhaa tupo kwenye mzozo na bebe ulopelekea ukimya hadi hivi sasa, basi ni kuviziana kuchunguliana tu whatsapp, sijui yataisha vipi haya.

Anyway nipo kazini dada [emoji22].
Poolee
 
Bahati mbaya sina bebii kipindi hiki so valentine imenikuta nikiwa singo....
Nimepiga kiporo changu cha pilau nimepanda kitandani kuusaka usingizi....
Mwenzangu wewe uko wapi mda huu?

Nipo huku JamiiForums nafuatilia comment zote siachi hata nukta!swali la ni kwamba tangia lini kiporo kikaliwa mchana badala ya asubuhi na chai [emoji477]️!wewe haupo single maana single hana ujasiri wa kupika pilau
 
Kweliii
Hapa najiandaa naenda manyelez kwenye live band
 
Nipo huku JamiiForums nafuatilia comment zote siachi hata nukta!swali la ni kwamba tangia lini kiporo kikaliwa mchana badala ya asubuhi na chai [emoji477]️!wewe haupo single maana single hana ujasiri wa kupika pilau
Huamni? Poa.....najiandaa naenda live vband manyelez
 
nipo Forest View Lodge, Tabata,
tayari kwa show ikifika mida ya jioni ivi
mpaka kuchee
 
Nipo na Kajala hapa samaki samaki kaniita anipe deal la kumfanya mbaya Mobeto na yule mchizi aliyemfanya mbaya mwanae.
Hatujaelewana bei hadi sasa nitaleta mrejesho soon
 
Sisi huku tupo half time,hakuna kama valentine's day!
613215932196.jpg
 
Back
Top Bottom