Upo wapi muda huu na unaburudika na nini?

Upo wapi muda huu na unaburudika na nini?

Nipo home, napiga story mbili tatu na wazee wangu, baba na mama
 
Nimetulia zangu home nashushia wine taratibuu... huku naangalia tv shows mbalimbali , ila tuache utani maisha mafupi sana tusiache kujipenda na kukumbuka kuishi...
Wakujipa furaha mwenyew,hakuna atakaekupa furaha,pamoja mkuuu
 
Back
Top Bottom