Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 764
kuna mtu kaniibia sim yangu yaani hapa nna hasira acha tu
Hahaha aisee umejuaje nipo shivazi
Hahaha aisee umejuaje nipo shivazi
mkoani kiongozi?
Umesema upo wapi vile? njoo hapa pinpoint aisee pako vema sana.
Niko hapa room
Mh nimefika pinpoint ila kuna demu nimemkuta washkaji wanataka kumbedua hapo florida kudadeki..
Ungana nao kudadeki
joburg mbali kaka nimechoka sana na safaridah! mkuu kama vipi pitia hapa JOBURG kaka nipo vacation!
Aisee watu jasiri sana demu wamemtoa shivazi halafu wanataka kupiga mtungo!
Aisee watu jasiri sana demu wamemtoa shivazi halafu wanataka kupiga mtungo!
Aisee watu jasiri sana demu wamemtoa shivazi halafu wanataka kupiga mtungo!
Aisee watu jasiri sana demu wamemtoa shivazi halafu wanataka kupiga mtungo!
Mh nimefika pinpoint ila kuna demu nimemkuta washkaji wanataka kumbedua hapo florida kudadeki..
dah aliponea kweli?
Kwa taarifa nilizozipata yule demu akitokea shivazi na jana yake alipigwa mzigo akasepa na change ya boss sasa ndio wakamkamata leo ila walielewana apigwe mzigo tena kulipa deni....haya mambo haya nouma
mimi nipo ndani ya kivuko cha mv magogoni naelekea upande wa magogoni
Je ww upo wapi mda huu?