Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 512
- 140
mimi nipo ndani ya kivuko cha mv magogoni naelekea upande wa magogoni
Je ww upo wapi mda huu?
Je ww upo wapi mda huu?
nipo kwenye usafiri asilia yaan ungo natoka bamba bay naenda ukerrwe nawasii jamani mafuta yakiiniishia nikatua maeneo yenu kwa dharura msinipige jamaani napita tuuu
Niko Ofisini........
Niko zangu kijiwe changu cha shue shine hapa mtaani kuna boss kaleta moka zake
kuna mtu kaniibia sim yangu yaani hapa nna hasira acha tu
hahaha, pole sana
hapa kila nikipiga haipatikani......kaninyong'onyeza sana huyo mtu
Nipo ugenini
Mi niko ndani ya taxi natoka Durban nakwenda Cap town
Niko hapa room
Yupo na mini tunapiga soga...
Upo ugeni upi?
Mkoani