Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Nipo naye Mimi,yupo anapewa vitu adimu.Hi!
2014 ulinipenda pasipo chochote, sikuwa na kitu lakini hukujali, ulinipenda na umasikini wangu, licha ya kuwa ulikuwa mrembo Sana,
Nimekumbuka sauti yako nyororo na macho yaliyolegea.
Ulinichagua katika ya wanaume wengi walionizidi sifa za kihadhi, kifedha na hata kielimu.
Popote Ulipo Anastazia Benedicta jua Michael bado anakupenda,
Ulikuwa unaishi Kwa Aunt yako pale Kwenye Kota za mapolisi Moshi mjini, Nyumba yenu ilikuwa mkabala na uwanja wa mashujaa wa pale Moshi mjini.
Nimekumbuka mara ya mwisho tulivyokutana mida ya saa mbili chini ya lile sanamu la mwanajeshi pale uwanja wa mashujaa. Mpaka leo nakumbuka Marashi yako mpaka hivi leo.
Ile zawadi uliyonipa nimeitunza mpaka Leo Kama ukumbusho.
Anneth popote Ulipo nakuomba ujitokeze. Kama kuna mtu humu anamjua Aneth aliyekuwa anaishi na Aunt yake pale Kota za polisi uwanja wa mashujaa naomba amtaarifu Mick ninamtafuta Sana.
Aneth nakupenda Sana. Hata kama umeolewa, sitajali, ninachotaka nikuone roho yangu ipumzike jamani
Na Mimi sijui nilete Uzi wa johnny[emoji848][emoji848]
Aneth kwa sasa ni mwanajeshi na yuko mpakani huko anapiga mateke ipasavyoHi!
2014 ulinipenda pasipo chochote, sikuwa na kitu lakini hukujali, ulinipenda na umasikini wangu, licha ya kuwa ulikuwa mrembo Sana,
Nimekumbuka sauti yako nyororo na macho yaliyolegea.
Ulinichagua katika ya wanaume wengi walionizidi sifa za kihadhi, kifedha na hata kielimu.
Popote Ulipo Anastazia Benedicta jua Michael bado anakupenda,
Ulikuwa unaishi Kwa Aunt yako pale Kwenye Kota za mapolisi Moshi mjini, Nyumba yenu ilikuwa mkabala na uwanja wa mashujaa wa pale Moshi mjini.
Nimekumbuka mara ya mwisho tulivyokutana mida ya saa mbili chini ya lile sanamu la mwanajeshi pale uwanja wa mashujaa. Mpaka leo nakumbuka Marashi yako mpaka hivi leo.
Ile zawadi uliyonipa nimeitunza mpaka Leo Kama ukumbusho.
Anneth popote Ulipo nakuomba ujitokeze. Kama kuna mtu humu anamjua Aneth aliyekuwa anaishi na Aunt yake pale Kota za polisi uwanja wa mashujaa naomba amtaarifu Mick ninamtafuta Sana.
Aneth nakupenda Sana. Hata kama umeolewa, sitajali, ninachotaka nikuone roho yangu ipumzike jamani
Ngoja nitume picha yake hapaAnastasia Benedicta. Sea jina hilo atakuwa na sura ya baba yake tu.
Sio wewe bwana[emoji38]Johnny mm unanitafuta usipate tabu [emoji23]