Mkuu chukua tu tahadhari mapema, kama alikuwa anaishi kota za polisi, kuna uwezekano mkubwa aliolewa na njagu. Omba tu asiwe ni mke wa afande Kingai!Hi!
2014 ulinipenda pasipo chochote, sikuwa na kitu lakini hukujali, ulinipenda na umasikini wangu, licha ya kuwa ulikuwa mrembo Sana,
Nimekumbuka sauti yako nyororo na macho yaliyolegea.
Ulinichagua katika ya wanaume wengi walionizidi sifa za kihadhi, kifedha na hata kielimu.
Popote Ulipo Anastazia Benedicta jua Michael bado anakupenda,
Ulikuwa unaishi Kwa Aunt yako pale Kwenye Kota za mapolisi Moshi mjini, Nyumba yenu ilikuwa mkabala na uwanja wa mashujaa wa pale Moshi mjini.
Nimekumbuka mara ya mwisho tulivyokutana mida ya saa mbili chini ya lile sanamu la mwanajeshi pale uwanja wa mashujaa. Mpaka leo nakumbuka Marashi yako mpaka hivi leo.
Ile zawadi uliyonipa nimeitunza mpaka Leo Kama ukumbusho.
Anneth popote Ulipo nakuomba ujitokeze. Kama kuna mtu humu anamjua Aneth aliyekuwa anaishi na Aunt yake pale Kota za polisi uwanja wa mashujaa naomba amtaarifu Mick ninamtafuta Sana.
Aneth nakupenda Sana. Hata kama umeolewa, sitajali, ninachotaka nikuone roho yangu ipumzike jamani
Kwnn hatuoni post za wanawake wakisaka wapenzi wao wa zamani
Kwamba wao hawana kumbukumbu zozote kuhusu mahusiano yao ya zamani
Yaani unamuulizia mke wangu?Hi!

[emoji3][emoji3]Na Mimi sijui nilete Uzi wa johnny[emoji848][emoji848]
Sijabahatika kuzionaZipo mbona
sio wewe kweli?[emoji3][emoji3]
Ngoja niangalie feedbacks toka kwa hawa jamaa
Kwnn hatuoni post za wanawake wakisaka wapenzi wao wa zamani
Kwamba wao hawana kumbukumbu zozote kuhusu mahusiano yao ya zamani
Kuna ile hasira mnavutana halafu mnaanza kutegeana msamaha.Kama unampenda EX wako msingeachana,kurudiana ni uzwazwa
Mwambie aingie PM kupitia account yako kuna jambo tunataka tulijadili kwa kinaNimeshamuoa niko nae hapa
Usiseme Ivo Rebeca Kuna nyakati mtu unashindwa ku moveon kbs kila cku mtu yupo kichwan itabd tu urudishe majeshiKama unampenda EX wako msingeachana,kurudiana ni uzwazwa
Pole sana mkuuUsiseme Ivo Rebeca Kuna nyakati mtu unashindwa ku moveon kbs kila cku mtu yupo kichwan itabd tu urudishe majeshi
Asant sanPole sana mkuu