Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,143
- 2,709
Hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Kongole mkuu.Nina rafiki was kundi Hilo la mwisho haeleweki ila NINAMUELEWA baada ya kusoma andiko lakoHapan sipo hapo ila nimependa aeleweke maana kwenye jamii mtu huyu huonekana hayupo sawa!
Ahsante mkuuAhsante, sasa ishi nae kwa amani!!
Mkuu nakuja pm hukoAhsante, sasa ishi nae kwa amani!!
Jitahidi wew uwaelewe zaid wao ili uishi nao kwa aman!!Hiki kundi la mwisho ndio ninaloishi mimi, nafkiri ndio maana naonekana niko very complex kwa watu wengine kwasababu niko na mambo yangu na rafiki zangu hadi wanipigie ndio tunapata muda wa kupiga mastori kama watu
Sent from my SM-G5510 using JamiiForums mobile app
Ahsante. Tabia ya binadamu yoyote kuona anafiti sehemu iliyo nzuri. Mfano hapa kwa harakaharaka utaona zaid ya 75% wanasoma na kujiona wapo kundi la mwisho. Njia nzuri ya kujua ni kundi lipi upo andika chin point moja moja afu kujitathimin au unaeza muuliza mtu unae muamini kila point utajua upo wap!!Humu watatokea wengi ambao ni kundi hilo la tatu.
Binafsi huwa sijilabel.
Andiko bora sana JF kwa kipindi kirefu.
Tabia zinaingiliana, hapo kikubwa ni kuangalia tabia ambazo hazibadiliki kujua lipi kundilako. Mfano mtu ili tumuite mlevi ni lazima awe mnywaji wa pombe kupitiliza lakin sio kila mnywa pombe ni mlevi.Hakuna kundi la nne ambalo linachanganya baadhi ya tabia kutoka katika hayo yote matatu mkuu?
Maana nimetest kundi langu naona kama nimechota characteristics karibia kila kundi.
Ila yote kwa yote andiko lako ni zuri maana limenipa mwanzo mzuri wa kuanza kujitathmini kupitia hayo makundi matatu.