upitishaji cables baharini na taratibu zake

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
9,071
Reaction score
9,674
hivi wadau kuna utaratibu wowote unaosimamia upitishaji cables baharini, maana wengine wanapitisha cable za umeme, wengine mawasiliano, wengine mabomba ya gesi na mafuta. je kuna utaratibu wowote unaofuatwa maana huko baharini kuna vyombo vya usafiri na vingine kama nyambizi. je hizo cables huwa zinatandazwa chini kabisa kwenye ocean floor au sometimes huwa zinaachwa kuelea kiasi fulani maana kuna sehemu kuna kina kirefu zaidi ya sehemu nyingine ambapo sigdhani kama ni rahisi kutandaza cables hizo chini kabisa kwenye mchanga wa bahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…