Upinzani watangaza mapambano 2008

Wataungana wapi hawa wakati wote wamekutana power mongers?Kila mmoja wao nataka awe the top guy not thinking that they have scavenged for that post for more than 10 years and yet nothing!Its time they give their seats to youthful,energetic and elucidated minds and brighter ones!
 
Kwa kuwa sisi wananchi tumashagundua kuwa hawa viongozi wa vyama vya upinzani ni wanafiki na wanaopenda sifa na kutukuzwa, huku wakituzuga sisi watanzania, tumegundua dawa, nayo ni kichapo tu, yeyote anayejua kuwa anataka kuusaliti muungano ule hakika ni kichapo tu, Dr, Mvungi kaonja joto lile, tunamsubili mwingine tena aje na vijineno vyake aone kazi, hatutaki mchezo.

Tumegundua kuwa Taifa hili haliwezi kukomboka kwa kuwa na viongozi kama hawa, na sasa sisi wananchi tutafanya kwa ajili ya vizazi vyetu.
 
Wataungana wapi hawa wakati wote wamekutana power mongers?Kila mmoja wao nataka awe the top guy not thinking that they have scavenged for that post for more than 10 years and yet nothing!Its time they give their seats to youthful,energetic and elucidated minds and brighter ones!

Kwa kuwa sisi wananchi tumeshagundua kuwa hawa viongozi wa vyama vya upinzani ni wanafiki na wanaopenda sifa na kutukuzwa, huku wakituzuga sisi watanzania, tumegundua dawa, nayo ni kichapo tu, yeyote anayejua kuwa anataka kuusaliti muungano ule hakika ni kichapo tu, Dr, Mvungi kaonja joto lile, tunamsubili mwingine tena aje na vijineno vyake aone kazi, hatutaki mchezo.

Tumegundua kuwa Taifa hili haliwezi kukomboka kwa kuwa na viongozi kama hawa, na sasa sisi wananchi tutafanya kwa ajili ya vizazi vyetu.
 
Kweli kabisa. Hata mimi nimezipata toka Tarime. Mvungi alihutubia akamhusisha Mbowe na kifo cha Wangwe wananchi wakamwita mwongo, wakamzomea na kumpiga mawe. Mkutano haukuweza kumalizika. Hii ni mara ya pili, siku chache zilizopita viongozi wa CHAUSTA nao walifanya mkutano, walipomtukana Mbowe tu wakashushwa jukwaani. Ilikuwa wapigwe mawe kama Mvungi bahati yao kuna Mama aliyekuwa anahutubia alikuwa amebeba mtoto hivyo watu wakaogopa kumuumiza mtoto.

......ndiyohiyo
 
Hii ni habari njema sana. Bravo wana Tarime. Mnatakiwa kuigwa na wadanganyika wote.
 
Hii ni habari njema sana. Bravo wana Tarime. Mnatakiwa kuigwa na wadanganyika wote.

Mchukia fisadi,

Mimi kinachonikela ni kuwa, watu kama ninyi mnaojiita wachukia fisadi ila ni waoga kama mbeha, hakika sasa tunataka watu wenye hisia za kweli za kulitetea taifa hili, haiwezekani kabisa, tukaendelea kudanganywa na hawa mafisadi, sisi wana Tarime tumeshagundua hila zao na tunahaidi kuwa tutakuwa waaminifu kwa Taifa letu na Mungu wetu atusaidie.

Watanzania tukae hali hii, hawa viongozi wa kisiasa hawana nia njema na Taifa letu, wamejikita sana kujali masilahi yao huku sisi wakitupuuza, nawambieni tushikane tujenge taifa letu.
 
Jana nilikuwa naongea na kiongozi mmoja wa CUF nikamsisitizia sana umuhimu wa vyama vya upinzani kuungana. Katika mazungumzo yetu akaonyesha kwa chama chake hilo halina kipaumbele na mimi nikazidi kusisitiza kwamba chaguzi tatu za vyama vingi zimeshafanyika na zote mmeshindwa vibaya sana hivyo kuna umuhimu wa sasa kutoa kipaumbele cha hali ya juu katika umuhimu wa kuungana ili wafanye hivyo haraka sana. Hakuna haja ya kusubiri chaguzi nyingine 3 au nne kabla ya kuungana. Wakati wa kuungana ni sasa!
 
Jana nilikuwa naongea na kiongozi mmoja wa CUF nikamsisitizia sana umuhimu wa vyama vya upinzani kuungana. Katika mazungumzo yetu akaonyesha kwa chama chake hilo halina kipaumbele na mimi nikazidi kusisitiza kwamba chaguzi tatu za vyama vingi zimeshafanyika na zote mmeshindwa vibaya sana hivyo kuna nyingine 3 au nne kabla ya kuungana. Wakati wa kuungana ni sasa![/coloumuhimu wa sasa kutoa kipaumbele cha hali ya juu katika umuhimu wa kuungana ili wafanye hivyo haraka sana. Hakuna haja ya kusubiri chaguzi r]

Bubu ataka kusema

Hapa utapiga ngoma mpaka uchoke kila kiongozi wa upinzani yuko pale tu kwa sababu ya maslahi yake na si vinginevyo, mimi nadhani ukombozi wetu una safari ndefu, bado tutasugua kwato hadi tamu zitutoke, fikiri sana, hebu hawa jamaa wa upinzani wana akili na uelewa?

Hebu ni kwa nini wasiunganishe nguvu zao wakavutia kwa pamoja? Tazama wanavyosalitiana.

sisi wananchi tutawaonyesha cha kufanya ile nidhamu ya uoga sasa basi, bora kufa kuliko kuishi huku tukifanya madudu.
 
kwa kuwa mwanzoni wapinzani walikuwa wamoja na bado umoja wao tunauthamini sana, bado hatujajua kama ile ndoa yao wametarakiana na hivyo tuna sema tutawaelewa kama watakuwa wamoja na si vinginevyo.

Tunasema hata hawa CCM kazi wanaijua kazi kwao.

Umesahau yale ya Mrema mwaka 1995,alivyoona kawa maarufu basi hakutaka kuungana na mtu yeyote yule.
Sishangai wakianza kupeana talaka si unajua kuna wengine wameshakuwa maarufu hivyo hawahitaji wengine!!

Kweli safari ya ukombozi bado ndefu...
 
Hawa NCCR Mageuzi ni Wanafiki na Waroho, nadhani hiki chama kitakufa punde kwa huo usaliti wao Wanamageuzi tunaanza kuwashtukia na kwa mtaji huo hatutawaunga mkono popote kama hawatatubu na kurejea kwenye Umoja wa Wana mageuzi.

Inaonekana umoja wa Wapinzani ni Urafiki wa mashaka na wakati wa kujua hilo umewadia. Tumewaona NCCR sasa tunawasubiri CUF na TLP tuwasikie watakuja na lipi kama watakuja na hayo ya Dk Mvungi na NCCR basi umoja utakuwa umesambaratika mapemaaa kwa ajili ya kiti kimoja tua ambacho kwa Wapinzani nadhani ni haki ya CHADEMA kwa kuwa kilikuwa kiti chao. Ikiwa hawatungana kwa Uchaguzi wa Tarime basi ni wazi hatutawaamini 2010.

Yangu macho na Masikio. Mwita endelea kutupasha maana kifo cha Wangwe kilisababisha kampeni chafu za Mafisadi dhidi ya Uongozi wa Chadema na Wapinzani wengine wameingizwa kwenye Mtego wa Mafisadi.
 
Wanafiki ni Chadema wanaotumia mwanvuli wa ushirikiano wa vyama kupora wanachama wa wengine na kujiimarisha. Washastukiwa sasa kila mtu kivyake kama noma na iwe noma!
 
Wanafiki ni Chadema wanaotumia mwanvuli wa ushirikiano wa vyama kupora wanachama wa wengine na kujiimarisha. Washastukiwa sasa kila mtu kivyake kama noma na iwe noma!

Masatu;

Mkuu, heshima mbele, nadhani wewe hautupi shida kwani kwa jina lako umeshajieleza, tunawajua mlivyo kigeugeu, watu wa kujipendekeza sisi tunawajua sana mkuu, msiojua haki zetu, pole sana na fikira zako hizo za kubahatisha,

Wakati Nuhu anajenga Safina watu walimdhihaki, wakajisemea haka kazee kamechanganyikiwa, hakuna aliyemuunga mkono hata kidogo, watu walimkejeli hawakujua kuwa yule mzee Nuhu alikuwa amepewa agizo hilo na Mungu.

Ni nini maaana yake? tunajua upinzani ni kama uwendawazimu hivi, kwani ni pale unapochezea moto hali kwamba ukijua kuwa utakuchoma, kwa hilo sisi hatujali na utuchome tu!!!!!!!!!

Masatu pole sana kwa kutozingatia maslahi ya vijukuu vyako, unadhani hawa wapinzani wasipoungana kuna mabadiliko hapa?
 
Mchukia fisadi,

Mimi kinachonikela ni kuwa, watu kama ninyi mnaojiita wachukia fisadi ila ni waoga kama mbeha, hakika sasa tunataka watu wenye hisia za kweli za kulitetea taifa hili, haiwezekani kabisa, tukaendelea kudanganywa na hawa mafisadi, sisi wana Tarime tumeshagundua hila zao na tunahaidi kuwa tutakuwa waaminifu kwa Taifa letu na Mungu wetu atusaidie.

Watanzania tukae hali hii, hawa viongozi wa kisiasa hawana nia njema na Taifa letu, wamejikita sana kujali masilahi yao huku sisi wakitupuuza, nawambieni tushikane tujenge taifa letu.
isayamwita Mimi ni mchukia fisadi orginal hasa wala siogopi maana nawachukia mafisadi. Najua nchi hii tangu uhuru na hadi leo. Nimekuwa mwanachama wa Tanu youth league na Tanu na baadaye sisiemu kisha nikakata tamaa ya kuwa mwanachama wao tokana na ufisadi. Kadi nikaitupa chooni, na hata namba siikumbuki. Siku wakiwa sawa nitaoomba uanachama upya. Mtu anidanganyi kitu. Siogopi maana hata Mungu yuko upande wangu. Habari ndiyo hiyo.
 
mchukia fisadi;

Mkuu nakushukuru sana kwa kuonyesha hisia zako, ila tuonyesha sasa kwa vitendo kuwa wewe ni mchukia fisadi;mimi nadhani ule muda wa kujigamba na kupigapiga kifua umekwisha, show yuor action now, tuache adithi za abunwasi hapa.

Kila mara nimekuwa nikikwambia kuwa hawa mafisadi ni wabaya sana, waking'amua kuwa wewe ni mpinzani wao basi hapo litatafutwa zengwe ili wakudidime

Sasa basi bora tugawane hicho wao wanachokufaidi.
 
KICHEKESHO, KICHEKESHO, HEBU NI NINI MTIZAMO WA VYAMA VYA UPINZANI 2010? AMA NDIYE ILE KILA MTU AVUTE KWAKE?

Nimeikumbuka hii thread nikaona niilete mbele yenu wanaJF.

Kwa kweli hatujui itakuaje 2010, kila kukicha tunaona Kama CCM wanajipanga

Hebu kweli wapinzania watafurukuta 2010?
 
Mwaka 2009 matokeo yalikuwa hivi:

Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2009, Chama Cha Mapinduzi kilipata ushindi wa asilimia 91.71, CUF walipata asiliamia 3.94, CHADEMA walipata asilimia 2.76, UDP asilimia 0.43, NCCR- Mageuzi asilimia 0.32, TLP asilimia 0.73, Chausta asilimia 0. 08, PPT – Maendeleo 0.01

Ilikuwaje Watanzania tukaiachia CCM itoke na asilimia zaidi ya 90?
 
Back
Top Bottom