Upinzani wamejipatia sifa ya utoto bungeni

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,859
Reaction score
15,055
Mtoto ni kiumbe adimu ambacho inabidi kilelewe ili kikue.

Mtoto akiwa na njaa yeye hulia
Mtoto akiwa na usingizi yeye hulia
Mtoto akiumwa yeye hulia tu
Hata akipenda kitu fulani , mtoto hulia.

Mtu mzima inabidi kumwelewa, kumwekea kawalawa ili atulie.
Mtoto vile vile anaweza kwenda haja mbele za watu bila kuwa na aibu au soni.
Na mtoto anaweza kudeka na kulia lia akililia kitu anachokipenda.

Wapinzani wetu wa kisiasa, UKAWA, sasa wamejipatia sifa mahsusi ya utoto bungeni jana.
Na hili ni kwa vile kwenye chama/vyama vyao hawana kiongozi mwenye wadhifa wa ustatesman wa utu uzima.

Makekele na aibu ya kutolewa nje ya bunge kama watoto ni sifa waliyojipatia katika ufunguzi wa bunge la 11.

Mbele ya watanzania na wageni wengi wa kimataifa, na hata marais wetu wastaafu, wamejinyea.
Wamejinyea kisiasa wenyewe wanafikiri wamefanya vema, na harufu bado ingalipo hadi sasa.

Mtoto akiendelea kudeka, suala ni moja tu, kiboko.

Bahati nzuri, hao bado ni watoto na viboko inabidi vitumike kuwarudi, amasivyo wataendelea kujinyea wakifikiri ni utaratibu wa kawaida.

Watu wenye akili, watu wazima waliishawaambia UKAWA, pelekeni suala la ZEC mahakamani, lakini watoto hawajui wala hawaelewi.
 
kama hz ndio akili za wana ccm,basi tuna safari ndefu kuifikia tanzania ya maendeleo
Watu wazima na wenye akili waliisha waambia pelekeni susla la ZEC mahakanani, lakini watoto UKAWA baada ya kushiba uji(posho za bunge) jana waliimba nyimbo za chekechea na kutolewa nje kama wafanywavyo watoto!
 
Na bado,wananchi wameibeza serikali iliyopo kupita maelezo.Wameidhalau mpaka basi.
 
Watu wazima na wenye akili waliisha waambia pelekeni susla la ZEC mahakanani, lakini watoto UKAWA baada ya kushiba uji(posho za bunge) jana waliimba nyimbo za chekechea na kutolewa nje kama wafanywavyo watoto!
Vip sugu alishinda mbeya? Nipe matokeo mkuu kama unayo
 
Watu wazima na wenye akili waliisha waambia pelekeni susla la ZEC mahakanani, lakini watoto UKAWA baada ya kushiba uji(posho za bunge) jana waliimba nyimbo za chekechea na kutolewa nje kama wafanywavyo watoto!
Kubw jing
 
Nilifurahi sana jana.....hakika UKAWA mliifanyia haki kura yangu niliyowapa
 
kama hz ndio akili za wana ccm,basi tuna safari ndefu kuifikia tanzania ya maendeleo

Mtandao wa wanawake na Katiba na Uchaguzi umekemea vikali vitendo vya kuzomea zomea vilivyojitikeza bungeni mjini Dodoma na kuonya kuwa tabia hiyo ikijirudia watawaumbua hadharani, kwani hawakutumwa na wananchi kwenda kufanya kazi hiyo.
Onyo hilo lilitolewa DSM na Mkurugenzi Mtendaji wa Women Fund Tanzania , Mary Lusinde-Majira leo21/11/2015.

Watoto viboko vinawanyemelea
 
bahat mbaya sana nchi ina watu wa aina yako weng sana, 2na safar ndef sana kufikia utawala wa haki, sheria na katiba.
 
Ukiwa mshabiki wa ccm unaona kila kinachofanyika kuipinga ccm ni mbaya

bahat mbaya sana nchi ina watu wa aina yako weng sana, 2na safar ndef sana kufikia utawala wa haki, sheria na katiba.
Mlishauriwa kutumia njia za kistaarabu, njia za kisheria. hata Tundu Lissu kwa vurugu za jana ni mtoto.
Mnaoujua ni utoto, na njia za kitoto, makorokocho!!!
 
Mtoto ni kiumbe adimu ambacho inabidi kilelewe ili kikue.

Mtoto akiwa na njaa yeye hulia
Mtoto akiwa na usingizi yeye hulia
Mtoto akiumwa yeye hulia tu
Hata akipenda kitu fulani , mtoto hulia.

Mtu mzima inabidi kumwelewa, kumwekea kawalawa ili atulie.
Mtoto vile vile anaweza kwenda haja mbele za watu bila kuwa na aibu au soni.
Na mtoto anaweza kudeka na kulia lia akililia kitu anachokipenda.

Wapinzani wetu wa kisiasa, UKAWA, sasa wamejipatia sifa mahsusi ya utoto bungeni jana.
Na hili ni kwa vile kwenye chama/vyama vyao hawana kiongozi mwenye wadhifa wa ustatesman wa utu uzima.

Makekele na aibu ya kutolewa nje ya bunge kama watoto ni sifa waliyojipatia katika ufunguzi wa bunge la 11.

Mbele ya watanzania na wageni wengi wa kimataifa, na hata marais wetu wastaafu, wamejinyea.
Wamejinyea kisiasa wenyewe wanafikiri wamefanya vema, na harufu bado ingalipo hadi sasa.

Mtoto akiendelea kudeka, suala ni moja tu, kiboko.

Bahati nzuri, hao bado ni watoto na viboko inabidi vitumike kuwarudi, amasivyo wataendelea kujinyea wakifikiri ni utaratibu wa kawaida.

Watu wenye akili, watu wazima waliishawaambia UKAWA, pelekeni suala la ZEC mahakamani, lakini watoto hawajui wala hawaelewi.

chief, bora utoto mara elfu kuliko wizi na dhuluma.

Back
Top Bottom