GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Toka limeanza suala la Madawa nlitegemea kipindi hiki sasa wapinzani ndo wangeleta list halisi au halali ya wauza madawa kulevya. Kipindi hiki kama tulivyosimama mwembechai tukataja mafisadi na kuzunguka nchi nzima kuyananga. Ilipaswa sasa tuseme makonda majina haya hapa.
Tulitakiwa tena kumkumbusha rais magufuli mafisadi na mahakama ya mafisadi kufanya kazi. Tulipaswa kumkumbusha kile aliyesema kuwa lowassa ni fisadi athibitishe sasa au akanushe. Kipind hiki tumekosa kashfa kabisa?hata za kutafuta tafuta kwa kurunzi? Sasa mbona hatuzitaji?
Mwananchi wa kawaida haelew habar za udikteta. Yeye haoni athari zake moja kwa moja. Kwa nini wapinzan msiangalie mambo ya msingi makuu yanayogusa wananchi?
Leo hii kumtetea manji kuwa anaonewa ni kuharibu image ya upinzan. Wangeachwa wafu wazikane. Karata hii itakuja tumika vibaya 2020. Kuna hoja gan wapinzani wanajipanga nazo 2020? Ufisadi haipo, rushwa haipo. Hoja gan ya kuwasimamisha?
Matamko anayotoa dr magufuli hayana athar katika bongo za watanzania. Kikwete alisema hana shida na kula za walimu na bado walimu walimlazimisha wakampa.
Upinzani utapoteza viti vingi zaidi. Gosbless lema kuna uwezekano mkbwa asirus bungen ,tundu lissu na Mbilinyi kwa wachache kuwataja.
Wapinzani walipswa kutulia sana na kujipanga suala la wao kufikia hatua kumuunga mkono milinga au musukuma moja ya wabunge wa hovyo.leo hii hawa ambao wamekuwa kipindi chote wanawatukana na kuwafanya waonekane wa hovyo leo mnaungana nao kutetea wauza madawa kwa hoja nyepes kabisa?
Mnaacha kuungana na akina hussen bashe na wabunge wengine wenye akili kuikosoa serikal kwa hekima na busara na kukemea inapobidi. Mnaungana na wabunge wa hovyo kusema ma....ni shoga?.
Ni vyema kuangalia ni wapi tulipokosea kama wapinzan.