Kivipi? Si utuambiage wajameni.Ila MBOWE ametudharau sana. Anyway.
Kivipi? Si utuambiage wajameni.Ila MBOWE ametudharau sana. Anyway.
Hahaha one day mtazijua rangi zake zote .........Kama yule Mfanyabiashara ya utumwa alishindwa kuinunua CHADEMA kwa fedha za mikopo, hakuna atakayeweza. Samia ana mapungufu yake tena mengi lakini kwa hili anafanya lililomshinda yule mwenye Roho ya kutu.
Huna Sifa ya kuheshimika wewe ni takatakaIla MBOWE ametudharau sana. Anyway.
Kwa jpm kutokushinda nakupinga 100% ila kwa wabunge hao 40 naweza kukuunga mkono 95%. JPM had sasa wakiweka picha yake igombee na maza inapita kwa zaidi ya 70% 😁😁😁Afadhari mama kulipo jpm ambaye aliumaliza upinzani kwa kutangaza ambao hawajashinda. Chadema walishibda majimbo takribani 40 lakini wakurugenzi wakalazimishwa kutowatangaza hata jpm gakushinda.
Afadhari mama nchi imekuwa huru Kama kwamba tumetoka kwenye ukoloni qa mateso, kupotezwa na wasiojulikana, kuumizwa, kunyongwa na kuharibu buchumi ha kulazimisha watu eti ni uchumi wa Kati.
Naamini chadema watazoa viti vingi 2025. Siasa siyo uadui Kama alivyotaka kuwaaminisha watu jpm kwamba chadema ni maadui wanatumwa na mabeberu.
Jpm alaaniwe na ateketee kabisa
Hata wao wanakosa dira wanakuwa km ccm b isiyofungamana na upande wowote.Upinzani ni CDM tu, hao wengine ni watumishi wa matumbo yao.
Ndo maana mnaitwa magaidi na hawa wanaowaalika ikulu 😂
Unataka ajitag sio!!!M-tag Bia yetu basi
Cdm mbna wanapress kila uchao au unataka waitishe maandamano ndio ujue kuna upinzani nchini?Unawasikia wanaongelea shida za wananchi?
Katiba mpya ndio dawa kwenu mnaozalisha na kuchochea hizo shida tangu uhuru.Unawasikia wanaongelea shida za wananchi?