Upinzani hauhitaji charity wala kujikita vijijini bali tume huru ya uchaguzi na bila muiingiliano na vyombo vya dola. Bila hivyo upinzani utasubiri sana kushika madaraka.
sahihi kabisaLissu anapendwa sana vijijini. Hayo mambo ya kusema eti vijijini ni propaganda ya CCM kama ilivyo ile ya beberu na ushoga. Tatizo ni mfumo+woga wa Watanzania. CCM = NEC, TISS, Polisi, Jeshi, TCRA, Makampuni ya simu, Mamlaka ya Anga, Msajili wa Vyama nk. Hata waki-penetrate mpaka Kenya, kama NEC pale juu kuna akina Mahera na Jecha, ni kupoteza muda tu.
Safi sana angalau wewe inelelekea unajua kuna tatizo upande wa Upinzani pia na mambo ya Tume ya uchaguzi siyo stori yote, Tume ina changamoto zake lkn chadema pia kama Chama hawataki kukubali uhalisia kwamba hawajaweza kushinda uchaguzi Tanzania, sasa waanze kufanya
Lissu anapendwa sana vijijini. Hayo mambo ya kusema eti oh vijijini ni propaganda ya CCM kama ilivyo ile ya mabeberu na ushoga. Tatizo ni mfumo+woga wa Watanzania. CCM = NEC, TISS, Polisi, Jeshi, TCRA, Makampuni ya simu, Mamlaka ya Anga, Msajili wa Vyama nk. Hata waki-penetrate mpaka Kenya, kama NEC pale juu kuna akina Mahera na Jecha, ni kupoteza muda tu. Sheria inasema Kaijage akishatangaza, hakuna kupinga mahakamani. Hata kama akikosea akasema mshindi ni Hashim Rungwe, hakuna wa kupinga.
Propaganda za CCM hizi... Mabeberu, mashoga... Haina tofauti, zote propaganda tu.
Mkuu una data Lissu anapendwa vijijini???you are right mambo ni mengi yana changia kuukandamiza upinzani
Sawa kama ni propaganda basi zinafanikiwa kwa maana CCM inashinda na kukubalika, ...
nisingejishughulisha na mambo ya Tume, kwanza ningedili na upande wangu, ...
Wameshinda! Uone aibu kutumia hilo neno. Watatangazwa washindi.
Daaaaaaa....nimeumia sana sugu,, lema na mbowe out.