Upinzani ndio unajizika zaidi, umebaki kushadidia masuala ya wanaCCM huku wao wakiwa na matatizo lukuki

Ule msemo wa kiswahili kuwa nyani haoni kundule unaukweli kwa 100%

Upinzani nchini Tanzania upo hoi kabisa, hatujui hata kama 2025 wataweza kusimamisha wagombea. Maana kiuchumi, kisiasa na kisaikolojia wapo hoi bin taabani.

Sasa wamebaki kuangalia na kukodolea macho ishu wanaCCM kana kwamba zinawasaidia. Mara wanaCcm wamemgeuka hayati JPM mara kuna makundi yatafumuka ndani ya CCM. Hii inawasaidia nini?

Act wazalendo wanachechemea kiduchu afadhali wao. chadema wapo hoi kisiasa, Mwenyekiti yupo Dubai,Makamu wake yupo Belgium na wafuasi na wanachama wapo Kilimanjaro na Dar es Salaam. Kwa mantiki hii hapo kuna chama kweli?
Aliyetaka kuua Upinzani Kafa yeye Upinzani bado upo Milele kwani ni Taasisi
 
Ule msemo wa kiswahili kuwa nyani haoni kundule unaukweli kwa 100%

Upinzani nchini Tanzania upo hoi kabisa, hatujui hata kama 2025 wataweza kusimamisha wagombea. Maana kiuchumi, kisiasa na kisaikolojia wapo hoi bin taabani.

Sasa wamebaki kuangalia na kukodolea macho ishu wanaCCM kana kwamba zinawasaidia. Mara wanaCcm wamemgeuka hayati JPM mara kuna makundi yatafumuka ndani ya CCM. Hii inawasaidia nini?

Act wazalendo wanachechemea kiduchu afadhali wao. chadema wapo hoi kisiasa, Mwenyekiti yupo Dubai,Makamu wake yupo Belgium na wafuasi na wanachama wapo Kilimanjaro na Dar es Salaam. Kwa mantiki hii hapo kuna chama kweli?
Nchi hii hakuna upinzani, kama upinzani wenyewe ni huu wa kina faru John na genge lake la wahuni wa saccos.
 
Upinzani sio chama, upinzani ni msimamo. Nia yetu sio kujenga vyama vya siasa, nia yetu ni kupigania haki, usawa na maendeleo ya taifa. Ikitokea mwana-CCM akaifuata hiyo misingi, tutasimama nae. Ikitokea mwana-CHADEMA akaenda kinyume na hiyo misingi, tutapingana nae.

Kwenu nyinyi, chama ni muhimu kuliko taifa. Kwetu sisi, taifa ni muhimu kuliko chama.

Msalimie Bashiru na Polepole!
 
Ule msemo wa kiswahili kuwa nyani haoni kundule unaukweli kwa 100%

Upinzani nchini Tanzania upo hoi kabisa, hatujui hata kama 2025 wataweza kusimamisha wagombea. Maana kiuchumi, kisiasa na kisaikolojia wapo hoi bin taabani.

Sasa wamebaki kuangalia na kukodolea macho ishu wanaCCM kana kwamba zinawasaidia. Mara wanaCcm wamemgeuka hayati JPM mara kuna makundi yatafumuka ndani ya CCM. Hii inawasaidia nini?

Act wazalendo wanachechemea kiduchu afadhali wao. chadema wapo hoi kisiasa, Mwenyekiti yupo Dubai,Makamu wake yupo Belgium na wafuasi na wanachama wapo Kilimanjaro na Dar es Salaam. Kwa mantiki hii hapo kuna chama kweli?
Kwani si wanasema adui muombee njaa? Sasa wewe mbona kama unateseka vile
 
Back
Top Bottom