cchrispian
Member
- May 9, 2013
- 16
- 5
Hivi viongozi wa vyama pinzani mbona wanajiangusha? Muda kama huu ambapo wananchi hawana imani na chama tawala ilibidi wao ndo waongoze kutoa hoja zenye msimamo. Hata kama hawapo bungeni, wangetumia muda huu kutoa maoni na kampeni ndogondogo za kuunga mkono wananchi.
Ila naona wao ndo kwanza wanafanya mambo yasiyoeleweka hata. Waache matukio ya ili waonekane kwenye magazeti.
Unganeni na wananchi, kufikia 2025 nahakika bungeni mtarudi wengi na mkifanya vizuri sana hiyo miaka 5 mnaweza kupata uraisi 2030. Ila mkiendelea kulalama, itafika 2025 mtabaki kulalamika tena kura zimeibwa. [emoji2367]
Hayo ndo mambo ya magazeti ninayoyaongelea. Mnaambiwa muache mnavunja sheria, mnalazimisha.... Asa mnategemea nini. Wafanye mambo ya maana hii haiwasaidii kituBBC World Service - Focus on Africa, Tanzania opposition leader arrested
Freeman Mbowe and other members of Chadema were arrested for unauthorised assembly.www.bbc.co.uk
Where is our freedom of speech?Hayo ndo mambo ya magazeti ninayoyaongelea. Mnaambiwa muache mnavunja sheria, mnalazimisha.... Asa mnategemea nini. Wafanye mambo ya maana hii haiwasaidii kitu
ID za hakiba
Huchipuka kwa vipindi kama wimbi la 3ID za hakiba
Hivi viongozi wa vyama pinzani mbona wanajiangusha? Muda kama huu ambapo wananchi hawana imani na chama tawala ilibidi wao ndo waongoze kutoa hoja zenye msimamo. Hata kama hawapo bungeni, wangetumia muda huu kutoa maoni na kampeni ndogondogo za kuunga mkono wananchi.
Ila naona wao ndo kwanza wanafanya mambo yasiyoeleweka hata. Waache matukio ya ili waonekane kwenye magazeti.
Unganeni na wananchi, kufikia 2025 nahakika bungeni mtarudi wengi na mkifanya vizuri sana hiyo miaka 5 mnaweza kupata uraisi 2030. Ila mkiendelea kulalama, itafika 2025 mtabaki kulalamika tena kura zimeibwa. [emoji2367]
Hivi inakuwaje mtu unahudhuria maziko ya mtu aliyekufa kwa Corona na huji lockdown 14 days? Si ni kusambaza corona huko?BBC World Service - Focus on Africa, Tanzania opposition leader arrested
Freeman Mbowe and other members of Chadema were arrested for unauthorised assembly.www.bbc.co.uk
ALichukua tahadhari zilizowekwa na WHO.Hivi inakuwaje mtu unahudhuria maziko ya mtu aliyekufa kwa Corona na huji lockdown 14 days? Si ni kusambaza corona huko?
Tusidanganyane!!!!!!!!!ALichukua tahadhari zilizowekwa na WHO.
Hainisha hoja ata moja mbíli tujueHivi viongozi wa vyama pinzani mbona wanajiangusha? Muda kama huu ambapo wananchi hawana imani na chama tawala ilibidi wao ndo waongoze kutoa hoja zenye msimamo. Hata kama hawapo bungeni, wangetumia muda huu kutoa maoni na kampeni ndogondogo za kuunga mkono wananchi.