Dan Muhina
Member
- Jul 14, 2018
- 64
- 71
Wimbi la Madiwani wengi kutoka Upinzani kujivua Uanachama na kuhamia CCM ni dhahiri shahiri kuwa 2020 Upinzani hautokuwepo kabisa! Yapo mambo mengi ya kujiuliza ni kwanini mambo hayo kutokea sasa? Jibu ni moja tu kuwa zilizokuwa kero nyingi zikiisakama jamii ya wa Tanzania hadi kufikia Tanzania kuitwa Shamba la Bibi sasa zinatatuliwa moja baada ya nyingine, nidhani katika taasisi za Umma zimebadilika mno na kuwa zenye kuwaridhisha Wananchi,Aidha udhibiti wa upotevu wa Mali za Umma na udhibiti wa Uchumi umepelekea kila Mtanzania Mzalendo mwenye kuipenda Nchi yake( sio vibaraka)kufurahia hali hii hivyo kutokuwa na sababu ya kuuchagua Upinzani 2020 kwa maana hiyo tutegemee Upinzani kufa 2020