Upinzani kufa kifo cha Mende 2020

Upinzani kufa kifo cha Mende 2020

Wapuuzi, wajinga, narrow minded ndio Wenye akili na mtazamo Kama huo! Acheni wizi muone, Acheni kutumia jeshi la Polisi muone mziki wake.
Hizi akili za toilet paper usizitoe hadharani kabisa. Unataka kusema wapinzani wanaoijunga CCM ni kwa sababu ya dola? Unataka kusema CCM inashinda uchaguzi kwa kura za vyombo vya dola? Acha ujinga, CCM bado ipo madarakani kwa sababu sera, muundo na ilani ya uchaguzi inavyotekelezwa vinawakosha Watu wengi ndio maana wanaipa ridhaa CCM kuendelea kubaki madarakani
 
Wimbi la Madiwani wengi kutoka Upinzani kujivua Uanachama na kuhamia CCM ni dhahiri shahiri kuwa 2020 Upinzani hautokuwepo kabisa! Yapo mambo mengi ya kujiuliza ni kwanini mambo hayo kutokea sasa? Jibu ni moja tu kuwa zilizokuwa kero nyingi zikiisakama jamii ya wa Tanzania hadi kufikia Tanzania kuitwa Shamba la Bibi sasa zinatatuliwa moja baada ya nyingine, nidhani katika taasisi za Umma zimebadilika mno na kuwa zenye kuwaridhisha Wananchi,Aidha udhibiti wa upotevu wa Mali za Umma na udhibiti wa Uchumi umepelekea kila Mtanzania Mzalendo mwenye kuipenda Nchi yake( sio vibaraka)kufurahia hali hii hivyo kutokuwa na sababu ya kuuchagua Upinzani 2020 kwa maana hiyo tutegemee Upinzani kufa 2020
Nani alianzisha mfumo wa vyama vingi? Nitajie kati ya viongozi wa upinzani aliyekaa na kutangaza kuwa kuanzia sasa nchi yetu itakuwa na vyama vingi.

Waliovianzisha wameamua kuviua tutarudi kule kule tulikokuwa kabla ya 1992. Who cares. Tumepitia mengi tangu tupate uhuru. Je waliotolewa kwenye vijiji vyao na kupangwa barabarani kama mawe wakati wa vijiji vya ujamaa watasemaje? Hivyo vyama vingi vilikiwepo. Walioshiriki si ndio wanakula cake wakati watu waliliwa na simba maporini wakati wa hilo zoezi.
Wewe kama umezaliwa jana shangilia lakini kama unazijua siasa za Tanzania tangu tupate uhuru, ni upepo tu unapita na wala si msimamo. Wavunje vyote vyama vya upinzani turudi kule tulikotoka. Wewe unayeshangilia utakuwa wa kwanza kulia.
 
Rais Magufuli amejipambanua si mbaguzi wa kiitikadi ndio maana ameweza kuwateua Wapinzani kwenye nafasi nyeti Serikalini. Hongera Rais Magufuli kwa kujenga umoja wa kitaifa
Wote walisharudisha kadi za upinzani na hawakuwa wapinzani ila watafutia tumbo.
 
Et kero zinatatuliwa wabongo bana hatari sana sijui elimu yetu imekaaje lakin utakuwa ugonjwa waafrika wengi kuwa na ufinyu wa fikra
Wewe unayesubiri pesa uletewe mifukoni, wewe ambae ulikuwa ni jipu ama upo kwenye mtandao wa majipu ndio utaona hakuna linalofanyika ila sisi Watanzania tunaona mambo mengi mazuri chanya yanafanywa na Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Magufuli
 
Mimi ningewashauri wapinzani wasisimamishe mgombea kwa nafasi yeyote ile nchi nzima. Then Watanzania tukae miaka mitano bila upinzani ili tuone kwa vitendo kazi ya vyama vya upinzani katika maendeleo ya nchi.
Hilo nalo ni neno lenye maana
 
Wimbi la Madiwani wengi kutoka Upinzani kujivua Uanachama na kuhamia CCM ni dhahiri shahiri kuwa 2020 Upinzani hautokuwepo kabisa! Yapo mambo mengi ya kujiuliza ni kwanini mambo hayo kutokea sasa? Jibu ni moja tu kuwa zilizokuwa kero nyingi zikiisakama jamii ya wa Tanzania hadi kufikia Tanzania kuitwa Shamba la Bibi sasa zinatatuliwa moja baada ya nyingine, nidhani katika taasisi za Umma zimebadilika mno na kuwa zenye kuwaridhisha Wananchi,Aidha udhibiti wa upotevu wa Mali za Umma na udhibiti wa Uchumi umepelekea kila Mtanzania Mzalendo mwenye kuipenda Nchi yake( sio vibaraka)kufurahia hali hii hivyo kutokuwa na sababu ya kuuchagua Upinzani 2020 kwa maana hiyo tutegemee Upinzani kufa 2020
Upinzani sio CHADEMA, CUF au ACT.. Upinzani ni kama imani tu.. Huwezi kuua imani ya mtu kwa udikteta uchwara
 
Wewe unayesubiri pesa uletewe mifukoni, wewe ambae ulikuwa ni jipu ama upo kwenye mtandao wa majipu ndio utaona hakuna linalofanyika ila sisi Watanzania tunaona mambo mengi mazuri chanya yanafanywa na Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Magufuli
Akili bado za kijinga sana sijui shule mnaendaga mucheza mdako hata babu zako kabla ya kugundulika kwa pesa walijishughulisha kubadilishana bidhaa kwa bidhaa sikuwahi kusoma mahali wakisubir nyumbani kuletewa hivi hizi kauli za kijinga za propaganda mtaacha lini kuzitumia nyie vichaa? Nani anasubiria pesa aletewe hii ndo shida ya kulishwa matango pori mnajua wote vilaza kama wewe.
 
Jiwe linapoipeleka ccm sijui.....

Haiwezekani utujazie wapinzani ndani ya chama chetu then uwape vyeo....

Humphrey polepole; video zipo akiiponda ccm live leo jiwe limempa ukatibu itikadi wa chama.

Julianza shoza; huyu umemtoa chadema leo waziri

Kitila mkumbo; leo umempa ukatu mkuu serikalini.

Mrema; mwenyekiti wa parole
Nakazia: Mama Anna Mghwira ni RC Kilimanjaro
 
Upinzani sio CHADEMA, CUF au ACT.. Upinzani ni kama imani tu.. Huwezi kuua imani ya mtu kwa udikteta uchwara
Hivi kuna udikteta unaozidi ule wa mzee wa alichachi wa kung'ang'ania madaraka? Nenda kamuulize Mgonjwa msomi wa ubelgiji yaliyomsibu utaujua madhala yake
 
Hivi kuna udikteta unaozidi ule wa mzee wa alichachi wa kung'ang'ania madaraka? Nenda kamuulize Mgonjwa msomi wa ubelgiji yaliyomsibu utaujua madhala yake
Sio kila mtu humu ni mpumbavu kama wewe..
 
Mkuu Dan Muhina, hivi kilichosababisha waanzishe siasa za ushindani ni nini hasa?!
Je, sababu hizo zimeisha sasa na hazitaibuka tena?!
Kwa hiyo hapo bongo mambo ni safi kuliko nchi zenye uchumi na maendeleo makubwa?
Kwa mtanzania ukiwa nchi kama za Scandinavia (Sweden, Finland, Denmark, Norway) huduma zao za jamii sijui hata nizielezeje! Lakini wana siasa za ushindani. Mataifa makubwa kama Ujerumani, Uingereza, Holland, France nk. ambayo tupende tusipende yametuzidi kwa kila kitu wana siasa za ushindani. Hata India tunakokimbizia wagonjwa wetu (watawala hasa) kila leo, wana siasa za ushindani. Kwa nini hasa mnadhani nyie ni tofauti sana na dunia nyingine?!
 
Chuki,Ukabila,Udini,Umangimeza,Ukanda,Uchochezi,Maandamano kila uchwao,Wasomi Uchwara,..na vingine vingi sivitaji, yote haya ni matokeo ya taifa hili kuukubali upinzani.

Upinzani ni laana,tuupige vita kwa nguvu zetu zoote,upinzani umekuja kufanya maisha yawe magumu sana,kwa sababu ya purkushani za ruzuku.eee mwenyezi mungu tuondolee upinzani wa laana huu, ndio chanzo cha mauwaji katika nchi za kiafrika.
 
Ningependa wanaCCM na wapenda amani na ustawi wa taifa hili wote tupange ziku tuandamane maandamano ya Amani kuelekea Mtaa wa Ufipa, ili tukatoe kichapo kitakatifu dhidi ya vibaraka.wasioitakia mema nchi hii.
 
Back
Top Bottom