Upinzani chutameni, mpo Uchi

Wewe Utapata buk 3 tu. Huu ni usajili mpya. Memba buk 7View attachment 1043559

Sent using Jamii Forums mobile app
huu ni ugonjwa mbaya sana kila usajili mpya buku saba kwani ww siku ya kwanza unajiunga Jf ulikuwa member buku saba? Changia Hoja kama unaona memba buku saba unahangaika nini ku screenshot? au hizo ndio sera zenu mnazozipambanua kuwa new memba ni buku7? au mnatarajia kila new memba awe upande wenu tuuuu au sio?
 
Hayo uliyoyaorodhesha kama mafanikio ya Magufuli ni sawa na bure kama hali mbaya ya uchumi na ukosefu wa ajira bado vimeshamiri katika jamii

Serikali yoyote huwa kazi yake kubwa ni kupunguza tatizo la ajira na kupambana na hali mbaya ya uduni wa maisha, sasa kwa utawala huu Magufuli ebu twambie amepunguzaje tatizo la ajira pamoja na tatizo la umasikini nchini?
 
#MATAGA mnataabika sana
 
Dogo Kama unahoja vile lakini unakosa namna ya kuiwasiilisha au ufahamu wa kuitetea. Hebu waalimishe wapinzani kwanza; Nini maana ya sera "'policy"' ama unazungumzia Ilani "manifesto" !!. Nani anatunga sera..Nani anatakiwa kuzitangaza sera au Ilani? Wapingani au watawala? Nani anaruhusu utangazaji na wapi atazitangaza hizo sera "policy"? Ni kweli anayetakiwa kutangazwa na kuzitekeleza sera Ni wapingaji/wapinzani? Kwa minajili gani? Atatekelezaje hizo sera anazotangaza na kwa bajeti gani. Je anaruhusiwa kutembea nchi nzima kama inavyotakiwa na katiba na Sheria kutangazwa hizo sera? Zitawafikiaje walengwa ambao hawajaruhusiwa kuwafikia japp Sheria inaruhusu Hilo? Je yapaswa kuwalaumu hawana sera hawa wapingaji/ Wapinzani kwa mukhtada huu? Anayetangaza na kutekeleza sera siku zote Ni watawala..yaaani sisi Happ sio walee. Nina hakika una "points" mchango miingi na "valid" sahihi lakini namna ya uwasikishwaji. Nadhani hawa wapinzani hawahitajiki kuchutama wanachutamishwa na kulazimisha kuvuliwa nguo..hawajavua wenyewe..
 
Dogo Kama unahoja vile lakini unakosa namna ya kuisakilisha au ufahamu wa kuitetea. Hebu waelimishe wapinzani kwanza; Nini maana ya sera "'policy"' ama unazungumzia Ilani "manifesto" !!. Nani anatunga sera..Nani anatakiwa kuzitangaza sera au Ilani? Wapingani au watawala? Nani anaruhusu utangazaji na wapi atazitangaza hizo sera "policy"? Ni kweli anayetakiwa kutangazwa na kuzitekeleza sera Ni wapingaji/wapinzani? Kwa minajili gani? Atatekelezaje hizo sera anazozitangaza na kwa bajeti gani? Je anaruhusiwa kutembea nchi nzima kama inavyotakiwa na katiba na Sheria kutangaza hizo sera? Zitawafikiaje walengwa ambao hawajaruhusiwa kuwafikia japo Sheria inaruhusu Hilo? Je yapaswa kuwalaumu hawana sera hawa wapingaji/ Wapinzani kwa mukhtada huu? Anayetangaza na kutekeleza sera siku zote unamjua/ tunamjua..yaaani Kati ya sisi hapa au walee. Nina hakika una "points" mchango miingi na "valid" sahihi lakini namna ya uwasikishwaji. Nadhani hawa wapinzani hawahitajiki kuchutama wanachutamishwa na kulazimisha kuvuliwa nguo..hawajavua wenyewe..
 
Umenena vema mkuu nashukuru kwa kupigia mistari hoja na kuifanya ieleweke vema
 
Nchi inaongozwa kienyeji pasipo katiba sheria za Nchi kufuatwa kila kitu ni zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM na Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu Bashite
 

Ukiona jitu zima lenye mvi linaandika BENDELA badala ya BENDERA,then I was done with that nonsense!
 
Ukiona jitu zima lenye mvi linaandika BENDELA badala ya BENDERA,then I was done with that nonsense!
Mengi ya hayo majitu kama uchafu yanafagiliwa, yanaokotwa, yanazolewa, yanakokotwa na kuja kubwagwa humu kuichafua JF iwe kama dampo. Kiswahili chao ndicho hicho na hapo hilo jitu limejitahidi kweli kweli!
 
Macho yako yana matatizo.Nenda kwa Madaktari wa macho wakakupime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…