Endelea kuwapa moyo wafu wenzako ccm . UKAWA NI SUMU YA KUISAMBARATISHA SERIKALI YA CCM MADARAKANIUpinzani wa waadhirika na viroba hauwezi kuishinda ccm.mtabaki kama fisi mkingojea mkono udundoke
kama wewe huna akili kabisaMkuu kuna watu hapa JF akili zao ni za kushikiwa......"Mabox Matupu"
Kama mikatabafeki na OKW BOBAN SUNZU huwa wanakurupuka sana!
mngekuwa na akili za kujishikia msingejiita MISALANI.madogo mnapokuwa toilet papers kutawadha mafisadi kwa buku 7Mkuu kuna watu hapa JF akili zao ni za kushikiwa......"Mabox Matupu"
Kama mikatabafeki na OKW BOBAN SUNZU huwa wanakurupuka sana!
mods toeni huu uchafuHujaelewa kilichoandikwa.
Umekosa hoja unaanza kuhororoja, kuwabwaja na kuropoka hovyo.
UKAWA yenyewe imeshaanza kusambaratika, hauna habari?
leta ushahidi wa UKAWA kusambaratika acha umbea na unafiki hizi ni pojoro za ccm ...Tunatambua UKAWA ni mti wenye matunda mema lazima upigwe mawe sisi hatujali kawaida.UKAWA yenyewe imeshaanza kusambaratika, hauna habari?
mkuu yule bibi njaa zinamsumbuaKwa ajuza kama wewe kushabikia ccm ni sawa, lakini kwa kijana kushabikia ccm lazima atakua mchawi tu.
leta ushahidi wa UKAWA kusambaratika acha umbea na unafiki hizi ni pojoro za ccm ...Tunatambua UKAWA ni mti wenye matunda mema lazima upigwe mawe sisi hatujali kawaida.
ndo maana JK amesema amechoka anatamani muda wake uishe akachunge mbuzi huko chalinze
hizi habari hazina ukweli wowote ni uzushi ccm tuliwazoea na habari zenu za kutunga UKAWA ni mti wenye matunda mema kurushiwe mawe kama haya ni kawaidaJisomee: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...uana-kwenye-kugawana-mitaa-dar-es-salaam.html
Ukimaliza nakushauri upate bilauri ya dihydrogen monoxide kwa afya yako.
Wala hakuna povu, tunasubiri ripoti rasmi kutoka kwa Zitto Kabwe, yanini tuandikie mate na wino upo?
Umeshagonga bilauri ya dihydrogen monoxide?
Ndo maana hatuendelee ccm wanaiba wanavyotaka kwa sababu wanajua kiongozi wao amechokana mwingine amesema amechoka na anatamani amalize muda wake akafuge nyuki na kulina asari, kwa maneno haya ya viongozi wetu wa juu kabisa tunaweza kusonga mbele?
ccm inaenda kuanguka za mwinzi ccm zimeshakaribiaWala hakuna povu, tunasubiri ripoti rasmi kutoka kwa Zitto Kabwe, yanini tuandikie mate na wino upo?
Umeshagonga bilauri ya dihydrogen monoxide?
Ulikua unakomaa hapa jamvini kwa kila post inayohusu escrow a/c. Tena si wewe tu, kuna team iliibuka hapa ilikua haichangii uzi wowote tofauti na escrow a/c. Sikiliza Faiza, linapokuja suala la kitaifa linalogusa umma hebu tuwe tunajitahidi kuweka kwanza pembeni mahaba ya hivi vyama vyetu. Kwenye hili tulipaswa kuwa wamoja likisha malizika kila mtu atawanyikie upande wake. Tuwe kama national team ambayo ina mkusanyiko wa wachezaji toka vilabu mbalimbali wakipigania taifa lao. Hivi kwa mfano wewe leo hii report ya escrow iwekwe mezani na ionekane ni kweli kulikua na wizi na kabla ulikua unatetea kua sio wizi utajisikiaje?