Upinzani 51% CCM 49% kwa tathmini ya kata 26 tu!

Upinzani 51% CCM 49% kwa tathmini ya kata 26 tu!

CCM hatujaongeza kitu. Tumepoteza kata tano kwa CHADEMA na kupata mbili zilizokuwa za CUF na TLP, bado hatuna kata tatu kulinganisha na tulizokuwa nazo awali yaani kumi na tisa. Mtasemaje tumeongeza mbili?
 
Na hapo bado daftari la wapiga halijaboreshwa vijana wengi hawajaandikishwa tangu 2010,wakiandikishwa magamba yataisoma namba.
 
Safi sana hii kwa mwigulu inauma sana na sasa afikirie kitu cha kufanya,yeye anafikiri watu kipindi hiki wanapelekwa kijinga kama zamani ccm someni alama za nyakati sehemu ambayo hamkubaliki wachaneni nayo ili muweze kufanya mambo mengine kwenye mikoa mnayokubalika la hata hiyo cdm wataichukua pia
 
CCM hatujaongeza kitu. Tumepoteza kata tano kwa CHADEMA na kupata mbili zilizokuwa za CUF na TLP, bado hatuna kata tatu kulinganisha na tulizokuwa nazo awali yaani kumi na tisa. Mtasemaje tumeongeza mbili?

Una logic kubwa sana kwa hili, lakini nilijaribu kuangali kuwa kama wameongeza ni kutoka wapi na kama wamepoteza wamewapotezea nani! hapa ndipo nilipojikita zaidi! Otherwise your logic stands reasonable!
 
Na hapo bado daftari la wapiga halijaboreshwa vijana wengi hawajaandikishwa tangu 2010,wakiandikishwa magamba yataisoma namba.

na hao watoto waliofelishwa juzi kati wana hasira hao, balaaa!
 
Turn out ya wapiga Kura ya Arusha... Inaleta maswali mengi zaidi kuliko majibu.
 
Angalia tathmini fupi ya uchaguzi wa kata 26
(kwa niaba ya Mtu wa Shamba)

Kata zilizokuwa wazi 26

Unyakuzi
CCM wamenyakua kata 16
CDM wamenyakua kata 10
CUF wamenyakua kata 0
TLP wamenyakua kata 0

Msimamo kabla uchaguzi haujafanyika
CCM walikuwa na kata 19
CDM walikuwa na kata 5
CUF walikuwa na kata 1
TLP walikuwa na kata 1

Waliopoteza
CCM wamepoteza kata 5 kwa CDM
CDM wamepoteza kata 0
CUF imepoteza kata 1 kwa CCM
TLP imepoteza kata 1 kwa CCM

Walioongeza
CCM imeongeza kata 2
CDM imeongeza kata 5
CUF imeongeza kata 0
TLP imeongeza kata 0

Uwiano kwa asilimia
CCM 49%
CDM 45%
CUF 5%
TLP 1%

Hali ya upinzani kwa ujumla:
Upinzani 51% CCM 49%

Kwa hisani ya Mtu wa Shamba


CCM hatujaongeza kitu. Tumepoteza kata tano kwa CHADEMA na kupata mbili zilizokuwa za CUF na TLP, bado hatuna kata tatu kulinganisha na tulizokuwa nazo awali yaani kumi na tisa. Mtasemaje tumeongeza mbili?
 
Kuna facts moja iko mbele yetu... Kwamba soon CCM itaondelewa madarakani... Kinachochelewesha sio CCM bali upinzani kuonyesha uaminiwe... That is it.
 
Mwigulu njoo iramba tuijenge wilaya yetu. Siasa za chuki na mauaji hazifai sasa ona ccm inakufa na ukweli ni kwamba watu wanaona wewe ndio muasisi wa kifo cha ccm

mwishowe hata ccm watakutema kwa kukuhonga ubalozi wa syria ukaone vema milipuko ya mabomu na gruneti.
 
Kuna facts moja iko mbele yetu... Kwamba soon CCM itaondelewa madarakani... Kinachochelewesha sio CCM bali upinzani kuonyesha uaminiwe... That is it.

Pamoja sana, hawana muda mrefu kabisa!

mara nyingine nawaza kuwa mabadiliko haya sio kwamba yanahitajika kwa sababu maalum ila ina msukumo wa generation/kizazi kilichopo sasa hv! huku kukichagizwa na teknolojia!
 
CCM hatujaongeza kitu. Tumepoteza kata tano kwa CHADEMA na kupata mbili zilizokuwa za CUF na TLP, bado hatuna kata tatu kulinganisha na tulizokuwa nazo awali yaani kumi na tisa. Mtasemaje tumeongeza mbili?

Siyo kuwa mmepata zilizokuwa za CUF na TLP bali mmezirudisha kwenu rasmi. CUF na TLP si vyama vyenu tu. Mliwaazima ili nao wajisikie. Sasa mmeamua wawarudishie ili ushindani wenu na CDM uweze kuimarika. Mtajiju!! CDM hawazuiliki tena.
 
Pamoja sana, hawana muda mrefu kabisa!

mara nyingine nawaza kuwa mabadiliko haya sio kwamba yanahitajika kwa sababu maalum ila ina msukumo wa generation/kizazi kilichopo sasa hv! huku kukichagizwa na teknolojia!
You got it Right! Today if our opposition was smart enough, they could have been already in charge . And any further delay(s) is caused by themselves... And the truth is that for many freedom fighting parties in Africa, CCM or forma TANU has been good in managing change within themselves sometimes better than even opposition. They demostrated mature democracy within the party and this has + effect as to why they are not replaced todate!
 
Siyo kuwa mmepata zilizokuwa za CUF na TLP bali mmezirudisha kwenu rasmi. CUF na TLP si vyama vyenu tu. Mliwaazima ili nao wajisikie. Sasa mmeamua wawarudishie ili ushindani wenu na CDM uweze kuimarika. Mtajiju!! CDM hawazuiliki tena.
Bweru una mambo wewe! kwa hio jamaa wameamua kuchukua kata zao mbili baada ya kuona cdm wanakaba koromeo!
 
Last edited by a moderator:
Labda kwa babayako

Ndiyo maana yake. Dalili ya mvua ni mawingu- Hii inaonyesha jinsi gani ccm imeshindwa kuleta maendelao, demokrasia ya kweli na kwa hali hii by 2015 tutapeta. God bless Tanzania,

from Ughaibuni🙂
 
Back
Top Bottom