Upinde wa mvua unapatikanaje?


Rainbow ni utawanyaji wa Rangi nyeupe ya jua Katika matone ya mvua yani matone ya Tawanya mwanga huu mweupe na kutoa rangi 7 kumbuka rangi nyeupe au Jua limecontain rangi 7 zenye utofauti wa Energy, Frequency na Wavelength
EXCELLENT
 
Hii topic ni ya darasa la tano!!
 
Samahani mkuu ...Nani anakumbuka Hilo agano ??
Mungu ndie anaekumbuka maana alimwambia Nuhu kila atakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana mawinguni, nitalikumbuka agano langu nanyi na viumbe vyote hai. Kamwe maji hayatageuka gharika na kuviangamiza viumbe vyote hai... Mwanzo 8:8-17
 
Kumbe anatabia ya kusahau ??
 
Halafu upinde wa mvua huwa ni wa duara. Walio kwenye ndege huona duara lote. Sisi wa chini ndiyo huona nusu duara.
 
Swali limeuliza kuhusu upinde wa mvua kuna mtu anatoa tofauti kati ya first world na third world,kwani huko first world kila mtu anajua sayansi? mawazo mgando.
 
Hivi ni kweli kwamba ukitokea upinde wa mvua mvua inanyesha kubwa zaidi? Na kwamba upinde hhuwa unachomoza kwenye mto na mahali hapo hutapika nyoka,nge na vyura?
 
Hivi ni kweli kwamba ukitokea upinde wa mvua mvua inanyesha kubwa zaidi? Na kwamba upinde hhuwa unachomoza kwenye mto na mahali hapo hutapika nyoka,nge na vyura?
hapana ni dalili kwam a hapo mvua ni dhaifu licha ya kuwepo dalli zote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…