Kama nimenunua kiwanja na nahitaji kujenga, na ktk mipango miji yao eneo lile likawa limetengwa kwa ajili ya soko,ama hospital nk,na baada ya miaka kadhaa watu wakawa wamejenga wengi ktk eneo hilo,hv mbele ya safari serikali huwa inafanya amendment kwenye master plan yao ama ndo huwa wanaamua kuvunja tu? Wajuzi naombeni kujuwa hili jamani