Ujenzi nafuu 01
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 375
- 34
well, kama sio mbali/ndani sana na eneo ni fairy flatland ntakufanyia 200,000/- hapo ni gharama za Upimaji, ufuatiliaji wa TP map huko Halmashaur na logistics zinginezo..Karbu boss!!weka wazi gharama
well, kama sio mbali/ndani sana na eneo ni fairy flatland ntakufanyia 200,000/- hapo ni gharama za Upimaji, ufuatiliaji wa TP map huko Halmashaur na logistics zinginezo..Karbu boss!!
Leseni ipo, ni kampuni binafsi, tunafanya haya kusaidia wenzetu wenye kutaka kujua uhalali wa plots zao, Asante!!Kwani unafanya kazi Ardhi au ? Tuelimishe uhalali wako wa kufanya haya! Una leseni ?????
Asante sana MkuuLeseni ipo, ni kampuni binafsi, tunafanya haya kusaidia wenzetu wenye kutaka kujua uhalali wa plots zao, Asante!!
Haizidi wiki mbili mkuu, karbu sana.Aisee kumbe bei rahisi namna hii?
Wabongo kweli wabishi,yaani mtu yupo tayari apoteze milions of tsh kwa pesa ndogo tu ya uhakiki.
Namie nitakutafuta mkuu,maana hili inabidi lifanyike kabla mtu hujatoa pesa kwa mwenye kiwanja au shamba.
Hembu nijuze inachukua muda gani kuhakiki,
well, kama sio mbali/ndani sana na eneo ni fairy flatland ntakufanyia 200,000/- hapo ni gharama za Upimaji, ufuatiliaji wa TP map huko Halmashaur na logistics zinginezo..Karbu boss!!
Hili nalo neno[emoji109]unafanya nn hasa? umekua mda mrefu una advertise kuhusu huduma za architecture, sasa ivi una advertise kuhusu surveying.
una multi task sio! au we ni dalali.
Asante Mkuu,
Kuna siku nitakupeleka Mkuranga,mbele ya Kimanzichana huko mkuu,kuna Acre kama 20 - 30 hivi bado nipo kwenye mazungumzo.ikiwa sana nitakutafuta miezi kadhaa ijayo,nasubiria wamalize kuvuna mazao yao ya msimu.
Nakupongeza kwa kuwajali watanzania wenzako,aisee watu wanaumia sana kwa kumiliki maeneo kinyemela na wanalia sana na watalia saana
Aisee kumbe bei rahisi namna hii?
Wabongo kweli wabishi,yaani mtu yupo tayari apoteze milions of tsh kwa pesa ndogo tu ya uhakiki.
Namie nitakutafuta mkuu,maana hili inabidi lifanyike kabla mtu hujatoa pesa kwa mwenye kiwanja au shamba.
Hembu nijuze inachukua muda gani kuhakiki,
Isikupe tabu ndugu Cejo ni kweli mimi ni Architect, jibu ni kwamba tunafanya kaz kama Team na Proffesionals wenzangu kama Surveyors, Planners, Engineers etc mahsusi ktk suala zima la Ardhi na Majengo. Karbu tena!