Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
ilipaswa wanataka kwenda kucheki afya zao wapewe nauli
Badala ya kwenda mwananyamala au Muhimbili unaenda Regency? Kwani REGENCY ni ya Serikali?
Kaka wazo lako ni jema sana ila hosp za serikali ni kero, unaweza ukafia katika benchi unasubiri huduma. Mimi hapa nimeumwa dengue nshukuru napona sasa, ila nilienda temeke hosp walinikatalia katakata kupima na huku walikuwa na vitendanishi, kisa wakasema eti hawajapewa ruksa na serikali. Walinikera mpaka nikasema ningekuwa na bomu ningelipua tufe wote kuliko kutendewa unyama namna ile. Niliondoka nikaenda Muh2, wakawa wameishiwa vitendanishi nikalazimika kupima hosp za binafsi kwa 50,000/=
Kwa hiyo serikali ikisema bure basi unadhani hata kwa hospitali binafsi?
Jaribuni kuwa mnatumia ubongo kufikirio wakati mwingine...