Tumpara Dudu JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 663 Reaction score 611 Jun 15, 2023 #1 Habari ndugu zangu. Naomba kujulishwa wapi naweza kupima DNA kwa gharama na mashart rahisi. Maana nimefatilia kwa Mkemia Mkuu gharama ni nafuu, lakini mashart ni magumu mno.
Habari ndugu zangu. Naomba kujulishwa wapi naweza kupima DNA kwa gharama na mashart rahisi. Maana nimefatilia kwa Mkemia Mkuu gharama ni nafuu, lakini mashart ni magumu mno.
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 13,682 Reaction score 41,164 Jun 15, 2023 #2 Tumpara Dudu said: Habari ndugu zangu. Naomba kujulishwa wapi naweza kupima DNA kwa gharama na mashart rahisi maana nimefatilia kwa mkemia mkuu gharama ni nafuu lakini mashart ni magumu mno Click to expand... Mashariti gani wanatoa ?
Tumpara Dudu said: Habari ndugu zangu. Naomba kujulishwa wapi naweza kupima DNA kwa gharama na mashart rahisi maana nimefatilia kwa mkemia mkuu gharama ni nafuu lakini mashart ni magumu mno Click to expand... Mashariti gani wanatoa ?
Lari JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 208 Reaction score 356 Jun 15, 2023 #3 Hospitali kubwa Uwe na legal documents ama mkubaliane na mama wa mtoto mtasikilizwa kwa vigezo maalum
Hospitali kubwa Uwe na legal documents ama mkubaliane na mama wa mtoto mtasikilizwa kwa vigezo maalum
Tumpara Dudu JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 663 Reaction score 611 Jun 15, 2023 Thread starter #4 Lari said: Hospitali kubwa Uwe na legal documents ama mkubaliane na mama wa mtoto mtasikilizwa kwa vigezo maalum Click to expand... Jazia nyama master
Lari said: Hospitali kubwa Uwe na legal documents ama mkubaliane na mama wa mtoto mtasikilizwa kwa vigezo maalum Click to expand... Jazia nyama master