Upi ni wakati mzuri katika maisha

Upi ni wakati mzuri katika maisha

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,432
Reaction score
7,965
Wengine wanapenda utoto yaani forever young wewe je?
FB_IMG_1613401834630.jpg
 
Wale tusiokuwa na pesa mwanzo mwisho tunakaa wapi.?
 
Wale tusiokuwa na pesa mwanzo mwisho tunakaa wapi.?
Umetoka nje ya mada

Tunazungumzia nyakati
Young age, Adult age and Old age

Upi ni wakati mzuri kwako yaani kama ungekuwa na uwezo ungesimamisha muda ubaki hapo hapo!
 
Jayde alisema anatamani kua malaika
Jayz akasema Iwan be forever Young
Mzee akuna anaetaka
 
Kufa ni wakati mzuri zaidi, kwasababu unaenda katika ulimwengu wa milele
 
Back
Top Bottom