Upi ni uhalisia kuhusu pundamilia?

Upi ni uhalisia kuhusu pundamilia?

Hawa hapa P, si unaona walivyo wasafi eenh...

attachment.php
hawa wanyama Mungu aliumba bwana!itakuwa walimbwa jumatatu asubuhi
hala kulikuwa hakuna kikao cha idara wala nini!yani wako bomba bana!
 
hawa wanyama Mungu aliumba bwana!itakuwa walimbwa jumatatu asubuhi
hala kulikuwa hakuna kikao cha idara wala nini!yani wako bomba bana!


vile vile kuna samaki wa baharini, ni wazuri sana...nishawahi tembelea sehemu moja ya kitalii huko kwa wazungu yaan samaki wamewekwa kwenye sehemu flani ndani ya vioo...wanapendeza mbayaaa
 
lol!nina dada anaitwa gloria hapa ofisini ngoja nimuite!
 
Back
Top Bottom