Upi mtungi wa gesi mzuri kati ya hii?

Upi mtungi wa gesi mzuri kati ya hii?

Nakushauri Mihan, hata bei ziko stable...hao oryx kila siku bei zinapanda na kushuka
wallah we mama utakuwa sales lady wa Mihan... c bure. na mie hebu nishauri kidogo kwa mapana na marefu.
 
mkuu kwanza mtungi wa mihan huwa misafi sio michafu kama oryx...... moto wake unatoka standard kinoma gharama ni nafuu...... unasubir nini wahi sasa upate mtungi wako saaafi kabisaa
 
ungetoa na takwim za bei ungekuwa umepatia.
 
mkuu kwanza mtungi wa mihan huwa misafi sio michafu kama oryx...... moto wake unatoka standard kinoma gharama ni nafuu...... unasubir nini wahi sasa upate mtungi wako saaafi kabisaa
mnh! Huku MankaM kule Kim nana... mie kwa sababu zako zooooooote ulizotoa, ninayoikubali ni hiyo ya kwamba gharama za Mihan ni nafuu compared to Oryx...
 
Last edited by a moderator:
nadhani unataka ushindani,mitungi ya orxy moto wake ni mkali sana na ukiwasha jiko unalazimika kupunguza moto ila mihans ninatumia kwa kuwa hapa nilipo ndiyo pekee inayopatikana.
Acha uongo.
Mitungi yote inajazwa sehemu moja tofauti ipo nje kwenye label za mitungi.
 
Mihan uko poa nilikua natumia oryx mwanzo inaisha mapema sijui wanachakachua.
 
Back
Top Bottom