Great_whiz
Member
- Aug 3, 2022
- 19
- 29
Habari Jf
Naomba kuuliza.
Nimekuwa mara kwa mara nikisoma na kufatilia habari za maradhi mbalimbali.
Lakini nataka kujua kutoka kwenu, nizingatie vyakula gani au mfumo upi wa maisha ili nijikinge na maradhi makubwa.
Situmii kabisa soda yoyote
Situmii chips huu ni mwaka wa pili bila kuonja chips
Situmii kuku wa broiler mwaka wa pili huu..
Naomba nyongeza zaidi