Upi mtazamo wako...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
ndugu wapendwa,ma bibi na mabwana,viburudisho na viburudiswa habariii....kuna jambo limekuwa likileta ubishani miongoni mwa sisi tunao karibio kufunga ndoa,walio kwenye ndoa na kazalika,jana tulikuwa tumeka vijana wa kiume na wakike baada ya mda wakazi,katika story ikaibuka mada hii 'JE KUNA ULAZIMA WA MWEZA WAKO KUJUA SALARY YAKO"kulitokea ubishani mkubwa maana wababa walikuwa wanasema MWANAUME kwa vile nikichwa cha familia usimuweke wazi mkeo mshahara wako sahii,kama una lipwa milioni na nusu sema milioni,then milioni save kwa ajili ya emergence,ila ya mama ni muhimu wewe kujua....wanawake nao wakacharuka,JE WANA ROOM HILI SWALA LINAKUA VIPI KUNA UWALALI WA MWEZA KUJUA MSHAHARA WAKO?
 
Mwanamke hapashwi kujua full details .
Na akijua several times mtacreate unnecessarly coflicts .
Nina mifano mingi ktk kutetea msimamo wangu , ukihitaji nitakupa.
 
Lakini ni mzigo mkubwa kuficha jambo kwa muda mrefu na kwa mtu wako wa karibu, muweke wazi tu ila asikupangie namna ya kubukanya mshahara au pato lako. Kichwa ubakie kuwa kichwa ila usimnyanyase mkeo au familia yako
 
Mwanamke hapashwi kujua full details .
Na akijua several times mtacreate unnecessarly coflicts .
Nina mifano mingi ktk kutetea msimamo wangu , ukihitaji nitakupa.
that true broza....
 
Lakini ni mzigo mkubwa kuficha jambo kwa muda mrefu na kwa mtu wako wa karibu, muweke wazi tu ila asikupangie namna ya kubukanya mshahara au pato lako. Kichwa ubakie kuwa kichwa ila usimnyanyase mkeo au familia yako
hatuongei kunyanyasana tunacho ongea ni kuhusu umuhimu wa mkeo kujua mshahara wako na hadi atm number
 
Hakuna umuhimu/ ulazima, ila usije ukatoa bastola nae akikuficha mshahara wake
 
Hii kitu inasumbua sana mpaka baadae unajuta kwanini ulimuweka wazi kila kitu
 
Si unajua kuwa hela za matumizi ni za baba? za mama ni za kwake. so hata ukimwambia haitapunguza maumivu.
 
Kama ndoa inaamani na wote mnamtazamo usio kinzana sana mi sioni tatizo we mume ukamweka wazi mkeo ktk swala zima la hela
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…