'upepo wamwelekea vibaya Lowassa'

'upepo wamwelekea vibaya Lowassa'

Fedha kitu ya ajabu sana, utia kiburi na ktk hali ya kuchafuka zaidi baadhi yetu ufikiri itawaosha madhambi yao.
 
watanzania bhana..
kwann tusijadili uraisi?
hivi kuna muongozo wowote ambao unataja mda rasmi wa kuanza kujadili uraisi.!
naomba tuwekana sawa hapa, kisheria, kikatiba na kimaadili - ni ruksa kujadili au kutangaza nia ya uraisi wakati wowote ule sababu sheria na katiba ina ruhusu.!

pia nadhani tukiwa na ''taasisi'' imara ya uraisi tunaweza epukana na yote hayo unayo yasema mkuu..
Hoja ni suala la kuwa na priority kwenye kufanya mambo yako, na hasa yanayohusu nchi na Dunia. Huwezi kujadili watu wanataka kuendeleza kuwaibia wa TZ wkt kuna issue muhimu zinaendelea sasa hivi zinazohusu maisha ya waTZ kuwa hatarini, yeye anatutaka tujadili uwezekano wa mwizi kupata nafasi zaidi ya kuiba! Shame on him/her
 
hafai kwa sababu.mwizi,muongo,mnafik sana,mlafi hawafikil wenzake,mgonjwa.sio hajui kuspeech out as president,TUPA KULEE
 
Kuna kila dalili kuwa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye tishio kwa sasa endapo atatangaza rasmi kugombea urais 2015, hivyo kumeibuka kundi au kikundi cha watu humu JF wanaompinga Lowassa kwa kila kitu bila ya kutoa sababu za msingi.

Hivyo basi naona sasa ni fursa wazi ya wale wanaosema 'no' kwa Lowassa na wale wanaosema 'yes' waje hadharani na hoja bila ya kuchafua hali ya hewa humu jamvini, ili mwisho wa siku tujue pumba ni zipi na mchele ni upi! Uwanja ni wenu.......................

Si tungeanza na wewe mkuu?
 
Naona unafanya usafi
 
Namlaumu sana aliyeanzisha rushwa/hongo. Humfanya mtu apoteze uhuru wake na aseme maneno yasiyo na kichwa wala miguu. Huu ni ushahidi mwingine wa pesa ndani ya bahasha za kaki. Mtu hajasema kama anataka kugombea tayari watu wameshapoteza uhuru kupitia bahasha na kuhangaika huku na kule. Pole ndugu na njaa zako.
 
Kuna kila dalili kuwa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye tishio kwa sasa endapo atatangaza rasmi kugombea urais 2015, hivyo kumeibuka kundi au kikundi cha watu humu JF wanaompinga Lowassa kwa kila kitu bila ya kutoa sababu za msingi.

Hivyo basi naona sasa ni fursa wazi ya wale wanaosema 'no' kwa Lowassa na wale wanaosema 'yes' waje hadharani na hoja bila ya kuchafua hali ya hewa humu jamvini, ili mwisho wa siku tujue pumba ni zipi na mchele ni upi! Uwanja ni wenu.......................

Umetumwa ama umejituma????
 
Jamani watz tuelekeze nguvu zetu kwanza kwenye mchakato wa mabalaza ya katiba,tuwachague watu makini ktk jambo hili.au!
 
Wanaofaa hawajulikani.

Wanaojulikana hawafai.

Lowassa anaonekana mzuri kwa sababu sasa hivi watu wana kiu ya kuondokana na hii total failure.

Lakini Lowassa katumia ofisi zake kujinufaisha mwenyewe kiasi kwamba hafai kuwa rais.

Why, tulikuwa tunamuona anakuja Upanga kuwafuata Wahindi wamkatie kitu kidogo alivyokuwa ardhi, hakutaka hata kusubiri wamfuate.

Tatizo ukimlinganisha yeyote yule -with the exception of Pinda maybe- na hii total failure ya sasa hivi, hususan mtu aliye backbencher kama Lowassa, utamuona huyo mtu ana shine.

Changanyikeni Complex za nani?!!!!!!!....

Lile bonge la Shule kupitia ITV - karibu na chuo cha Kodi mikocheni ni la NANI?!!!!

Maswali ni mengi kuliko majibu!!!!!
 
hafai kwa sababu.mwizi,muongo,mnafik sana,mlafi hawafikil wenzake,mgonjwa.sio hajui kuspeech out as president,TUPA KULEE

Umesema kweli!!!

Changanyikeni Complex za nani?!!!!!!!....

Lile bonge la Shule kupitia ITV - karibu na chuo cha Kodi mikocheni ni la NANI?!!!!

Maswali ni mengi kuliko majibu!!!!!
 
Wanaofaa hawajulikani.

Wanaojulikana hawafai.

Lowassa anaonekana mzuri kwa sababu sasa hivi watu wana kiu ya kuondokana na hii total failure.

Lakini Lowassa katumia ofisi zake kujinufaisha mwenyewe kiasi kwamba hafai kuwa rais.

Why, tulikuwa tunamuona anakuja Upanga kuwafuata Wahindi wamkatie kitu kidogo alivyokuwa ardhi, hakutaka hata kusubiri wamfuate.

Tatizo ukimlinganisha yeyote yule -with the exception of Pinda maybe- na hii total failure ya sasa hivi, hususan mtu aliye backbencher kama Lowassa, utamuona huyo mtu ana shine.

This is classic.....!
 
Changanyikeni Complex za nani?!!!!!!!....

Lile bonge la Shule kupitia ITV - karibu na chuo cha Kodi mikocheni ni la NANI?!!!!

Maswali ni mengi kuliko majibu!!!!!

Mimi sikatai viongozi kuwa na mali, kama mtu anajulikana mtoto wa Sheikh Aziz Ally ana pesa za urithi, au mtoto wa Rupia ana hela tangu kabla ya Uhuru, au mtoto wa Bomani wana vinu vya kuchambua Pamba tangu miaka ya kabla ya uhuru huko, au kafanya consultancy na jet set Wall St firms miaka kumi, siwezi kuwawekea kikorosho. Hata matajiri ni Watanzania na wana haki ya kugombea uongozi. Wamekuwa marais kina Kennedy Marekani huko mbona wamefanya kazi nzuri zinaheshimika mpaka leo?

Lakini huyu Lowassa watu wana file lake lote tangu kabla ya AICC, leo aje kutuambia kajenga mahekalu yote hayo kwa deal gani alilokuwa nalo tusilolijua?
 
Mimi sikatai viongozi kuwa na mali, kama mtu anajulikana mtoto wa Sheikh Aziz Ally ana pesa za urithi, au mtoto wa Rupia ana hela tangu kabla ya Uhuru, au mtoto wa Bomani wana vinu vya kuchambua Pamba tangu miaka ya kabla ya uhuru huko, au kafanya consultancy na jet set Wall St firms miaka kumi, siwezi kuwawekea kikorosho. Hata matajiri ni Watanzania na wana haki ya kugombea uongozi.

Lakini huyu Lowassa watu wana file lake lote tangu kabla ya AICC, leo aje kutuambia kajenga mahekalu yote hayo kwa deal gani alilokuwa nalo tusilolijua?

Inavyoelekea wewe ni mgumu kuelewa au umepewa CHAKO ili utetee vitu visivyo na utetezi!!!!. Uliowataja wanamiliki mali zao wazi wazi hata kama una mashaka nao unaweza kuchukua hatua mapema!...

Nisemacho mimi ALIYEFICHA FEDHA USWISI HAFAI kuwa RAISI!!!!... Aliyena biashara na miradi na utajiri unaozua utata kwa wananchi hafai kuwa RAISI!!!!!
 
-Mtu asiyekua na ujasiri wa kutaja anachomiliki huku kukiwa na dubious circumstance za upatikanaji wa mali zake na wakati huo huo akiwa mtu aliyejiuzulu wadhifa wa juu katika mazingira tatanishi 'kusimamia mkataba tata' bado anaweza kuwa na ujasiri wa kutaka kuongoza taifa linalojali integrity?Makanisa au misikiti isiyo na maadili ipo,hata yale makanisa yanayomwabudu shetani yapo hayo tusiyape uzito.Intergrity ndiyo dini kuu kwa taifa linalofuata utawala wa katiba na sheria.Dini hii haina ubaguzi katika haki.wenye dini na wasio na dini wanastahili haki ambayo intergrity ndiyo corner stone
 
Ccm kweli ni janga la Taifa wamefikia hadi kumwona mtu pekee anaye faa kuwa rais wa Tanzania ni Lowassa ambaye amechafuka hadi nzi wanakimbia harufu yake.
mi hata sishangai sababu upande wa pili kuna mh.mwenyekiti wa kamati ya bajeti wanamuita Mr.clean(chenge) baada ya kufanikiwa kwa ubatizo wa ufisadi wa rada kuwa chenji ya rada ili kupunguza makali masikioni mwa watu.
 
Inavyoelekea wewe ni mgumu kuelewa au umepewa CHAKO ili utetee vitu visivyo na utetezi!!!!. Uliowataja wanamiliki mali zao wazi wazi hata kama una mashaka nao unaweza kuchukua hatua mapema!...

Nisemacho mimi ALIYEFICHA FEDHA USWISI HAFAI kuwa RAISI!!!!... Aliyena biashara na miradi na utajiri unaozua utata kwa wananchi hafai kuwa RAISI!!!!!

Kati yangu mimi na wewe nani mgumu wa kuelewa?

Hivi umesoma na kuelewa nilichoandika?

I could say a few choice words about your red colors, chuo cha ualimu cha Vodafasta umefuzu lini?

Comprehension please!
 
Lowasa hafai,mwizi,mdini,mbinafsi.yeye narafik yake,ndio walioharib tanzania yetu.hatufai,hafai, hatokuja kutufaa milele
 
Back
Top Bottom