Upepo wa Membe mtaani usipime

Chai ya siturungi bila kitafunwa sukari ni ya kungojea kwa mangi afungue
 
Kumbee

[emoji1787][emoji1787] Nasubiri muda ufike
 
Upinzani hautakaa ujipange maana aidha haupo kwa maana kuwa waliopo ni ccm kwa bendera za upinzani au upo ila haujui nini ufanye, kama BCM akianza joto la urais wajue ni ccm ktk camoufalege ili kupoteza muda upinzani kujipanga ushinde. Am sorry for you
 
Wapigaji utawajua tu.
 
Membe na Lissu 2020
 
Kwa jinsi CCM inavyominya demokrasia sioni namna Membe anavyoweza jipenyeza kushika kijiti. Yaani ina maana Mwenyekiti ,ambaye ni Jiwe, ampishe mtu mwingine kugombea uraisi? Hata kama Membe anapendwa namna gani hilo ni jambo lisilowezekana. Labda itokee la kutokea la Arab-spring!
 
We niamini mimi na nadhani baada ya uchaguzi tukutane hapa ila ujitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri tu.
Chama dola means chama aw serikali, serikali na institutions zake ziko chini ya Magufuli mzingueni muone, ndio maana Dk slaa walikuwa wanasema ccm bilateral polisi ni wepesi kama karatasi ndugu.
 
Mtahangaika sana safari hii
 
 
TZ online [emoji91] [emoji91]

Street TZ Konki

Hakika mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
MLETA MADA KUHUSU SIMIYU HAUPO SAWA KWANI HUKU WANANCHI KUNDI KUBWA HAWAMTAKI ISIPOKUWA WACHAWI NA WAGANGA WA KIENYEJI
 
Hivi kweli mpaka sasa tuna matumaini kuwa uchaguzi upo 2020?
 
Hao mafisadi ndo wanakuja vibaya
kama wamekuja vibaya,watashughulikiwa vibaya.
maana sisi watanzania tumeishachoshwa na mafisi
wasiotuheshimu wafanyakazi na wakulima,mtu unatumikia taifa unastaafu
unakuta mijitu imekomba fedha yako ya mafao na kuanza kukutungia sharia ili ufe mapema.
Tumechoka na tunawataka warudishe fedha zetu,ili mifuko iwe na uwezo wa kutulipa.
Kazi anayoifanya magufuli binafsi naikubali sana,na sitaki kusikia hoja yoyote ya kumkwamisha
asimalizie muda wake,hao wanaoyataka madaraka walikuwepo walifanya nini?
 

Magufuli hajakamata hao mafisadi wanaokomba mafao, kitu gani kinamzuia kuwaburuza mahakamani?
Nitajie Fisadi hata mmoja kwenye listi ya makinikia aliyefikishwa mahakamani
Mimi naona anapambana na ufisadi kwa maneno tu na si kwa vitendo
 
Hivi kweli mpaka sasa tuna matumaini kuwa uchaguzi upo 2020?
Kama uchaguzi huo ni kwa ajili ya kumuweka mtajwa madarakani afadhali usiwepo.
Kwa bahati mbaya watanzania ni wepesi wa kusahau,kama unakumbuka ile chenji ya lada
mtu huyu aliikomalia irudi na kudai uingereza haiwezi kutupangia namna ya kuitumia,
wakati anajua fika kuwa mafisadi walishaipiga ,kama sio hao waingereza kuikamata
ilikuwa imeliwa,sasa niulize alivyoidai ikarudi ulitumika kufanya nini,ikiwa hata neti tulisubiri tuletewe na marekani?
 
Kazi iliyo mbele ya Membe ni moja tu basi! KUCHUKUA FOMU mengine atuachie sisi Magwiji na Makungwi!

Hatuwezi kuacha nchi iongozwe na mtu ambaye akilala akiamka alichoota jana usiku ndiyo policy ya nchi leo!

We deserve better!!!
Nasikia mwenyekit Ana mpango wa kuwatengua makungwi wote wale wa ktambo kabla ya huo mchakato .
 
Magufuli hajakamata hao mafisadi wanaokomba mafao, kitu gani kinamzuia kuwaburuza mahakamani?
Nitajie Fisadi hata mmoja kwenye listi ya makinikia aliyefikishwa mahakamani
Mimi naona anapambana na ufisadi kwa maneno tu na si kwa vitendo
Tuliokuwepo enzi za azimio la Arusha,kulikuwa na misemo fulani
mmojawapo ni huu "Kukata mirija" na mheshimiwa Magufuli anachokifanya
ni kukata mirija,hayo mambo ya kupelekwa mahakamani ni upotevu wa fedha ya umma
mimi naona ni heri tukate mirija, wa kunyauka atanyauka mwenyewe bila hata kesi.
Ni kupambana kuziba nyufa zilizotumika kutunyonya mengine yafuate,na huwezi kuyafanya yote kwa wakati mmoja.
 

Angalia asije akijakata mwenyewe maana anatakiwa ajibu trilion 2.4 ziko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…