Upepo wa Membe mtaani usipime

Hujakielewa nachokukatalia, nakataa unaposema "Magufuli haihitajii ccm bali ccm ndiyo inayomuhitajia Magufuli", nasema tena kuwa ccm ni taasisi kubwa kuliko unavyoifikiria, na kama unabisha basi mwambie ahame chama akagombee kupitia chama kingine uone nini kitatokea.
 
Unatoa Takwimu Kwa Kibari Cha Nani
Wewe Unatakiwa Kukamatwa Na Mamlaka 😂😁😀😃😄😅
 
Hatari sana...

Nilisemaga kwamba uchaguzi wa 2020 utakua na kashkash sana...

Sii kwa wapinzani wala chama tawala... joto likua kubwa sana...


Cc: mahondaw
 
Ana weza fanya hivyo na bado akashinda, tena kwa 100%, kumbuka yeye ana mawaziri zaidi ya 20, wabunge ambao akihama wengi watamfuata, wabunge wengi wanataka guarantee ya kurudi tena bungeni, hivyo wana muhitaji Magufuli kuwa vusha, wakurugenzi ambao ni wakeleketwa wakuu wa uchaguzi ni wateule wakuu was Rais, vyombo vya ulinzi na usalama wakuu wake ni wateule wake, akitoka ccm hii advantage ccm itakuwa haina tena, huyu mtu unafikiri ccm watamshinda? ukweli kuwa ccm ndo ina muhitaji Magufuli wala sio vingine.
 
Nshakuona kuwa hujui nini maana ya chama, tena chama dola. Kama si ccm basi Magufuli si lolote si chochote.
 
Mende ataongoza makabati na chooo sio hii Nchi ambayo tupo watu na akili zetu... Mende atabaki kuwa Mende halafu usimlinganishe Mh Raisi JPM na Mende
 
Kazi iliyo mbele ya Membe ni moja tu basi! KUCHUKUA FOMU mengine atuachie sisi Magwiji na Makungwi!

Hatuwezi kuacha nchi iongozwe na mtu ambaye akilala akiamka alichoota jana usiku ndiyo policy ya nchi leo!

We deserve better!!!
Siyo Lisu tena?
 
Nshakuona kuwa hujui nini maana ya chama, tena chama dola. Kama si ccm basi Magufuli si lolote si chochote.
Chama dola means chama aw serikali, serikali na institutions zake ziko chini ya Magufuli mzingueni muone, ndio maana Dk slaa walikuwa wanasema ccm bilateral polisi ni wepesi kama karatasi ndugu.
 
Utaratibu wa Nyundo 10 Mwisho Awamu hii,ANKALI ndio anafunga huo utaratibu,2020 Tunaenda na Membe ndani ya CCM.
 
Kazi iliyo mbele ya Membe ni moja tu basi! KUCHUKUA FOMU mengine atuachie sisi Magwiji na Makungwi!

Hatuwezi kuacha nchi iongozwe na mtu ambaye akilala akiamka alichoota jana usiku ndiyo policy ya nchi leo!

We deserve better!!!
Kabisa yaani yeye ni fukuza teua fukuza teua,hajiulizi hata kwenye speech ya nyerere alisema waliweka sheria ngumu kumfukuza mtu kazi,kitendo cha magu cha fukuza teua kinawafanya wateule wawe mazuzu hayajielewi yaani yanafanya mambo ya kipuuzi kumfurahisha "MFUNGWA" huku wakiogopa kufanya mambo ya kuleta maendeleo kwa wananchi.
 
Nataka kubeti hata kwa milioni 10 Magufuli anagombea kupitia CCM 2020.
Ambae yuko tayari kuweka milioni 10 tukutane tuweke 10M tusubiri mtanange.
usikute hata laki 3 haujazishika mda kweli
 
Membe aombe ruhusa kwa "Harmonize" kibao alichoimba kinatosha. Hakuna Mtanzania atakaekubali kurudi nyumba.
 
Pwaahhaaaahahahahaaaaa...dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…