Ndio kazi yenu kuchukuwa kutoka ccmKuna ubaya akija kwetu?
Ndio kazi yenu kuchukuwa kutoka ccmKuna ubaya akija kwetu?
We unadhani sisi ni mbumbumbu wenzako eti? Utafiti usio rasmi unaweza kutoa taarifa za kina kiasi hicho unachojaribu kuonesha? Imefikia ukiuliza maoni ya mke na mumeo unaamini watanzania wanataka hiki na kile, eti? Ukome kuleta upuuzi JF.Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020
Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm
Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko
Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar
Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora
Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
Ufipa ya nini tena hapa, kima kweli wewe! Huu uzi umeletwa na nzi wenzio wa kijani. Malizeni kung'ang'ania madaraka kabla nguvu ya umma haijaanza kudai katiba mpya itakayotuletea uhuru wa kumchagua kiongozi tunayemtaka. Sasa hivi tumieni polisi na vyombo vingine vya dola kujitangazia ushindi, siku yenu inakuja mtakapolia na kusaga meno.Nadhani zimefanywa kule uani ufipa kwenye yale maturubai yaliyochakaa.
Liinsha lirefu lote la nini?Ufipa ya nini tena hapa, kima kweli wewe! Huu uzi umeletwa na nzi wenzio wa kijani. Malizeni kung'ang'ania madaraka kabla nguvu ya umma haijaanza kudai katiba mpya itakayotuletea uhuru wa kumchagua kiongozi tunayemtaka. Sasa hivi tumieni polisi na vyombo vingine vya dola kujitangazia ushindi, siku yenu inakuja mtakapolia na kusaga meno.
Wananchi wa Tanzania haiwataki CCM for you information, ndiyo maana hata 2015 kwa kura nyingi kabisa waliamua kumpigia Edo ingawa halikuwa chaguo lao, kama ilivyo ada mkafanya yenu "PINDUA PINDUA" mkishirikiana Jecha kumsimika huyu "Kichaa" wa Chatle. Ukihitaji ufafanuzi muulize January Makamba, Nape na genge lake.
Upuuzi mtupu, kwani Magufuli hajawahi mshinda Membe? kujifariji kwingine ni kujitakia mapressure tu, sioni wa kumshinda Magufuli 2020 sio ccm wala Upinzani, hata tueneza mabaya na chuki kwake bado ata shindaAcha uongo na upunguani..
Kuna viini vya ukweli katika "utafiti huo usio rasmi"; hasa ukiangalia maeneo yanayounga na yasiyounga mkono.Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020
Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm
Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko
Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar
Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora
Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
Unanikumbusha Jenereli Chemical yule wa Saddam,wakati maji yapo shingoni yeye alidai Saddam yupo ngangari,kwa taarifa yako labda Membe anajulikana huko kwao Lindi,si ajabu aliitwa joka la mdimu, Membe ambaye alishindwa hata kujenga kiwanda cha chokaa huko Lindi eti ndio chaguo la wengi,atabaki kuongea na watendaji wa vijiji huko kwao,Membe asahau uraisi TanzaniaHakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020
Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm
Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko
Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar
Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora
Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
Nipo kiongozi...Hahaha babu upo ?
Bibi mzima ?
Kweli aisee wanasiasa hawajawahi kubadilika ni walewale wanajua kucheza na akili zetu, cha muhimu ni ku deal na uchumi wako na familia yako tu, mengine hata ushinde unawawaza wao hutafanikiwAHawa wanarukaruka tu ila mwakani atakayepeperusha bendera ya CCM si mwingibe bali ni John PJ Magufuli (PhD). Bahati nzuri/mbaya hata hao akina Membe wanalijua hili vizuri sana. Wana CCM ni wanafiki kupita maelezo (Musiba was spot one for once..). Utashanga haohao akina Membe, January, Nape, Mwigulu, Makamba etc wapo ndani ya kampeni team.
Siasa waachieni wana siasa na nendeni mkafanye yenu kwa manufaa yenu na familia zenu.
Halafu huu ndo ukweli mchungu, ambao watu hawautakiMagufuli hahitaji CCM , ni CCM ndo ina muhitaji Magufuli, Magufuli hata akihamia chauma akampisha membe ccm na membe akaungana na wana cecm wote bado Magufuli atawashinda , huyu jamaa utendaji wake una mbeba sana mazuri ni mengi kuliko mabaya
Hujaenda Twitter Mkuu. Unampendaje mtu mwenye tabia za Bokassa, Mobutu, Mugabe na Idi Amin?![]()
ila siasa itabaki kua siasa, nikajua atatajwa kiongozi w Upinzani labda ndo atachukua nafasi ya anko Magu, ila anategemewa Membe ambae ni ccm na Magufuli ambae ni ccm.... No change wote watafuata ilani ya ccm tu.Watanzania siyo wasahaulifu
1. Wamelia sana vyuma kukaza
2.Wakalia sana uonevu wa nyumba uliofanyika mbezi-Kimara huku wale wa mwanza wakaambiwa nyinyi msivunjiwe
3.Wakalia sana sheria ya bodi ya mikopo ya 15%
4.Leo hadi taulo za wanawake zinakatwa kodi
5. Wana Kagera wakaambiwa "Wanataka hela sababu ya tetemeko kwani serikali ndiyo iliyoleta tetemeko"
6.Watanzania wamenyang'anywa Bunge LIVE leo imegeuka MTU live
7. Watanzania wanakumbuka vizuri kuwa nyongeza za mishahara ya wafanyakazi zilizopo kwa mujibu wa sheria hazipo
8.Watanzania wana kumbukumbu nzuri ya manunuzi ya wanasiasa na kuwatia gharama kurudia chaguzi
9. Wakulima wa korosho wana kumbukumbu nzuri sana walichotendwa
10. Wa mikoa ya kaskazini hawawezi kusahau kauli waliyoambiwa kuwa miaka yote ilikuwa wao tu wangoje na wengine wafaidi
11. Vijana wanaomaliza vyo vikuu utawaambia nini, mwaka wa nne huu ajira za manati
12. Watanzania wapenda ustaarabu wanaona jinsi Wanasiasa akina Lema, Sugu, Mdee, Mbowe, walivyonyanyaswa, kesi zenye dhamana hawapewi dhamana etc
13. Watu wana kumbukumbu nzuri tu ya ripoti za CAG na trilion 2.4 amabzo maelezo yake yamepinda
14. Watanzania Hawajamsahau Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na wengine
15. Wana Singida hawatopata Shida kumlilia kijana wao Tundu Lissu, iliwauma, inawauma na itaendelea kuwauma
16. Binti Akwilina aliliza wengi, aliumiza wengi
17. Unafikiri Watanzania wamesahau nyodo za Mwanamfalme wa Dar, Dharau zake, kudekezwa kwake, Wanasubiri tu moto uchanganye wafanye maamuzi ya ghadhabu hapo 2020
18. Asidhani tumesahau Trilion 2.4 hazina maelezo yaliyonyooka zimekwenda wapi
19. WanaYanga wanamkumbuka Manji wao, Wana Simba walimlilia sana Mo kwa wiki mbili
20. Wauza mbaazi hawajasahau old good days
21. Watanzania bado wanakumbukumbu nzuri za Magazeti ya zamani yenye uchambuzi bila hofu, wanasikitishwa na magazeti yaliyojaa uoga leo, kujipendekeza pendekeza, lakini nani aliyetufikisha hapa?
22. Watanzanai watasahau vipi kwa mfano walipokunywa chai bila sukari kwa uhaba wa sukari mwaka 2016?
23. Wazazi wa watoto waliopata ujauzito shuleni waliumia sana kuambiwa kuwa "sisomeshi wazazi"
24. Na wastaafu wanaosumbuliwa nenda rudi, mafao yao hakuna lakini kuna hela zakujenga uwanja wa ndege Chato huzuni yao haipimiki
25. Unafikiri wamachinga wanapenda kulimwa 20000 ya vitambulisho, tena kwa tozo ambayo haijaidhinishwa na bunge?
26. Vipi wale waliotumbuliwa majukwaani kinyume cha taratibu za utumishi,“ jamani nitumbue nisitumbueeee?, tumbuaaaaa”,
27. vipi wafanyabiashara waliobambikiwa kodi?, kilio cha machozi yao hakiwezi kukaushwa na kikao kimoja mbele ya TV Live, vipi familia zao ziliteseka namna gani, ziliumia kiasi gani, vipi mtaji wao?
28. Vipi kuhusu Trilion 425, Vipi waliotajwa kwenye ripoti ya Makinikia kuwa ndo waliotufikisha hapa, ameshakamatwa nani?, kesi zao ziko mahakama gani?, hatua gani zimeshachukuliwa dhidi yao?, Hizo Trilion 425 tunazipata lini?
29.Eti 5000 za kung'arishia viatu?,Madereva wameumizwa sana, wametozwa nyingi, wamepigwa tochi sana, hawajasahau hii
30. Na wavuvi waliochomewa nyavu, walionyang'anywa nyavu, nani atawarudishia mitaji yao?, nani alisikia hisia zao?
Kwa hakika
1. Mikoa ya Kusini atapata tabu sana
2.Mikoa ya kaskazini ndiyo kabisaaa
3. Mkoa wa Singida kwa brother Lissu ndo asahau kabisa
4. Dar es salaam ya waelewa wanahitaji mtu jasiri tu wa kusema nam'goa
5. Mbeya ndo asahau
6. Kule kwa Ruyagwa Zitto huko ni waelewa sana
7. Kagera huko bora asahau bado kumbukumbu ya Tetemeko ingali hai
8. Kule Zanzibar kwa BRAZA Maalim asahau moja kwa moja
Atabaki na Mwanza na Nyanda za juu Kaskazini, na shinyanga na Geita, kwenda Katavi, Dodoma na Kidogo Pwani
Membe akichukua fomu patachimbika!
Kama hii ni kweli, nitaanza kuhoji akili ya Membe.Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020
Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm
Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko
Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar
Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora
Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
M nahic magufuli anapondwa sana huku jf, lkn ukienda you tube, insta watu wana mkubali sanaaaa, halafu unakuta mataifa mengine wanamkubali sana anko magu sasa cjui ndo ule msemo kua nabii hakubaliki kwao, au umuhimu wa manabii wa Mungu na mitume ulionekana wakati nchi zilipokua na ukame na balaa la njaa tu wakati wa shibe walipigwa mawe na muchomwa moto
All in all m naiheshimu siasa bhana tutagomvana sisi huku mitaani lkn wao wanajua nani wamsimamishe.. Cku zote cc tunasubir kile watakacho kiamua wao