Upepo umeshageuka, Vyombo vyote vya habari si huru tena

Upepo umeshageuka, Vyombo vyote vya habari si huru tena

Mgeni wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
1,233
Reaction score
1,296
Azam Tv, ITV, Na venginevo vimeshabadilisha muonekano wake wa kutoa habari, sasa zile habari zinazomuhusu Edo pengine zitatolewa mwisho wa Taarifa za habari au zinaweza zisitolewe.

Haya mabadiliko yameanza mara moja sasa tutegemee kupata taarifa za upande mmoja tuu, Hii kweli ni demokrasi?

tumezoe kuona habari nzito nyingi zikipewa kipaumbele, Tunaviomba vyombo hivi visifuate upepo huu wawe huru kwa manufaa ya Taifa hili la leo na Kesho.
 
Wameamua kuweka habari ya lowasa mwisho ili muweze kuangalia na taarifa zingine,
kwani mkishaona habari ya lowasa mnaondoka kwenye tv zenu.
sasa mtalazimika kuwa mnaisubiri mwisho.
 
Back
Top Bottom