Upepo umegeuka, King Muswat wa Eswatini aikimbia nchi

Njoo tz kuna haya madude yanayoitwa MATAGA wakati wa uchaguzi yanashangilia kama yamekatika vichwa uongozi wa chama chao ukisha shika nchi wanajikuta nao wanalalamikia ugumu wa maisha az if ni misukule, tazama namna mwenda zake alivyo uponda mradi wa BANDARI YA BAGAMOYO walishangilia mpaka basi cha ajabu mama samia ameamua kuu huisha mradi madude yaleyale yaitwayo MATAGA yanashangilia utadhani machizi sasa hapa ndo ule usemi kwamba ukisha kuwa m/kiti ccm unapata wasaa wa kuondoa bongo za MATAGA
Unakose sehemu moja tu. Rangi za Chama cha mapindizu Ccm in mbili kijani, na njano. Bendera yake ni moja tu yenye alama za jembe na nyundo. Ukiona wanatofautiana, ni aina ya mishono tu. Kwa hiyo ujue, hakuna cha Making Tanzania Great Again wala Ccm fisadi. Wote ni wale wale na usidanganyike wala kujifariji.
 
Hili ndilo wananchi tunalotakiwa kufanya kwa majizi ya ccm,Afrika nzima kwenye nchi kama Kenya,wananchi inabidi wawatimue watawala,
Kenya,mijitu ya NASA,ODM,Kalonzo,Mudavadi,Wetangula,Ruto,Kenyata,wote wanawaza kubadili Katiba Ili watawale,hawawazi jinsi ya kuweka mifumo Ili ku ajira za kutosha

 
Back
Top Bottom