Upepo ulivyomsumbua Pope Francis

Mkuu lini hii tena ? Isijekuwa picha duka
 
Jana huku Vatican kulikuwa na Hotuba anatoa mkuu kumbe huko habari hizi azijafika ni mambo ya kawaida tu si unajua upepo.
 
Hapo ni St. Peter Basilica Vatican City.
 
SIO St.Peter Basilica mkuu ni kigango tofauti.
By JACK LOSH
Published: 20th February 2014

[h=3]POPE Francis is visited by the Holy Gust as he greets crowds in a blustery Vatican.[/h] His skullcap was blown clear off his head yesterday - and the pontiff's mantle was then whipped up, covering his face.......
 
ningependa kufahamu alikuwa amefikia kifungu gani cha maneno wakati upepo una sababisha hicho kitamba kumfunika
 
da pope au pepo mbona mnatuchanganya kama dog si natas ambayo ni god is satan
 
ningependa kufahamu alikuwa amefikia kifungu gani cha maneno wakati upepo una sababisha hicho kitamba kumfunika

alikuwa anasoma hotuba na wala si vifungu kwenye biblia na wala hakuwa anaongoza misa ni kwenye majukumu ya kazi yake ya kila siku tu akiwa vatican.
 
Ooh! Sawa kumbe hotuba haina vifungu vya maneno. Nimekuelewa mkuu NAPITA
 
Last edited by a moderator:
alikuwa anasoma hotuba na wala si vifungu kwenye biblia na wala hakuwa anaongoza misa ni kwenye majukumu ya kazi yake ya kila siku tu akiwa vatican.

Ooh! Sawa kumbe hotuba haina vifungu vya maneno. Nimekuelewa mkuu NAPITA.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…