Upepo noma

Ingekuwa mvuto unafanana na tabia ya mtu huyu demu angetisha lakini lahaula haiwi hivyo!!! ukiingiza timu hapo ni kero kwa kwenda mbele yaani utaikimbia nyumba yako mwenyewe na kumuachia.
 
Kwani havai bikini huyu tabu ya nini yote hiyo?
 
Afu upepo ukiamua kukufanyia makusudi bwana. Acha tu.
 
Na hapo wameshammimba tayari...
 
Mi napenda kujiangalia mwenyewe live. Ya kwake haitanifurahisha. Asante kwa mwaliko
Ile picha yake ya X ni nzuri sana na huwa simuazimishi mtu;kama unataka kuiangalia njoo home!
Kwa kweli ni nzuri
 
Ile picha yake ya X ni nzuri sana na huwa simuazimishi mtu;kama unataka kuiangalia njoo home!
Kwa kweli ni nzuri

Mzushi wewe hata humpati unamchafua tu, huyo ni mke wa mtu na anajiheshimu kama mke
 
...pale PPF tower (dsm) pana upepo unao ezua hadi WIGI..
 
Mzushi wewe hata humpati unamchafua tu, huyo ni mke wa mtu na anajiheshimu kama mke

Huyu si Kim Kadarshian?Mke wa sasa wa Kanye West baada ya kumtosa yule jamaa wa BKLN basketballer?

Kama ni yy basi wewe Shine ndiyo ufute maneno yako maana nisemayo ni kweli tupu!Kacheza movie za utupu huyu!
 
Dah! Huyu mtoto kumuangaliatu nikilevi tosha, asifiwe muumba kwakazi nzuri.
 
Sijui naye kabeba "khanga" kwenye hili limkoba lake.........kina mama bana!

 
Nimeanza kutamani
Upepo upungue ili mama wa watu asijeadhirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…