Mi nilivyoelewa hapo anaposema upendo wa mshumaa... ni kwamba huyo anayempa maji inabid apunguze spidi ili aweze kumhudumia. Na anaweza kupitwa maana anamhudumia mtu, hawezi kumaintain spidi ya kukimbiaSijaelewa uliposema Upendo wa Mshumaa, lakini naamini huyo mkorea kama sio mchina anauwezo wa kunywa hayo maji.