Upendo wa mama

Kabisa mkuu, maana miaka kama mitatu hivi ilopita aliwahi lisema tena hilo jambo.
Mapenzi ya mama hayafananishwi na chochote, hata yeye ile hali ya kuwatukana haikumtoka haraka alijiona mkosaji kwa wanae kwa muda mrefu sana
 
Kabisa mkuu!
Wababa pia tukiweza kujishusha inawafanya watoto wajihisi kuheshiwa zaidi.
 
Reactions: THT
Wow, awesome si ndio??
Basi hii inatukumbusha kutendeana kwa wema zile feeling tamu huwa hazifutiki kamwe.
Mara ya kwanza mama kunituma sokoni niliporudi alinisiks kisogo na kidevu akaniinua juu..akasema Ahsante Mungu nimekuza..
Japo niliumia shingo sitasahau ile feeling
 
Na hakika hukurudisha kwenye utu hata kama ulipanga visasi!
Kabisa mkuu! Hiki kitendo kimenifanya nimuone mama kuwa watofauta sana, hasa inapotokea nimetofautiana na mtu, huwa naikumbuka sana hii scenario
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa na mawazo kama yako. Lakini baada ya kujitambua na mimi kuwa na majukumu ya kifamilia, nimegundua kuwa wazazi wote wanauzito ulio sawa. Tuache kuwa tunawabagua baba zetu.
Yeap apo nimemgusia maza ila na baba pia
 
Tangu nimekua mwanaume, baba na mama wana nafasi sawa kwangu na vitu vyangu vingi nashauriana na mzee ila mama anabaki kama "ceremonial"
Upendo wa baba umejificha sana mpaka ukuwe ndio utaujua
 
Yaani na baki kama vile imefanyika jana tu.
Mara ya kwanza mama kunituma sokoni niliporudi alinisiks kisogo na kidevu akaniinua juu..akasema Ahsante Mungu nimekuza..
Japo niliumia shingo sitasahau ile feeling
 
Sure.
Hivi karibuni kuna mmaza alizingua ofisinix serious nilitaka nimfanyie kitu mbaya, lakini moja ya vitu mama alinifundisha ni kusamehe na kupitia hilo tukio maelwkwzo yake kwangu yamebaki yana maana kubwa, hivyo nilivyorejesha fikra kwa mama nikajikuta hasira inayeyuka tu.
Na hakika hukurudisha kwenye utu hata kama ulipanga visasi!
 
Huwezi jua nafasi ya baba mpaka utakapo kuwa baba.
Kwangu mimi namzungumzia mama sana kwa sababu ndie mtu alietaka niwe hivi.

Japo tukiwa wadogo baba alilaza mshale akatuacha na mama lakin mama ameendelea kutusimulia mema ya baba, nakiri hajawahi msema vibaya mzee kwetu, ila sina cha kusema kuhusu yeye maana sijawahi kuwa nae katika makuzi yangu.
Tangu nimekua mwanaume, baba na mama wana nafasi sawa kwangu na vitu vyangu vingi nashauriana na mzee ila mama anabaki kama "ceremonial"
Upendo wa baba umejificha sana mpaka ukuwe ndio utaujua
 
Japo jema sana mtu mkubwa anapojishusha na kuomba msamaha anapoona amekosea.

Mungu ambariki.
 
Na wanaume wengi (sio wote lakini ) waliolelewa na mama zao kwa upendo huwa wazuri kwenye jamii, kinyume sana na wale waliojeruhiwa nafsi zao na mama zao , huwa wakatili waharibifu wa amani na jamii ke kwa ujimla, most of the times ni users.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…