Upendo wa kweli

Upendo wa kweli

Joined
Aug 1, 2022
Posts
41
Reaction score
86
Hivi kwa mfano umeingia kwenye mahusiano na mwana mke miaka 2 ukampa ujauzito ukamua kumuoa tena kwa ndoa ya kanisani baada ya wiki unagundua kua ni mathilika wa ukimwi na ww hujaathirika unachukua maamuzi gani?
1685639730285.jpg
 
Seen patients like these and Niliwasidia dna test . Simple tu . Mke Alipata umeme , alicheat after few months Akiwa mbali kikazi ,akamwambia mume wake tu kumuokoa maana they had 3 children . they are good . Ila mtoto alikuwa sio wake mmoja. Ila wanalea familia maana mke alimuokoa mume . Angemuunga kama angekuwa na plan hiyo .
 
Seen patients like these and Niliwasidia dna test . Simple tu . Mke Alipata umeme , alicheat after few months Akiwa mbali kikazi ,akamwambia mume wake tu kumuokoa maana they had 3 children . they are good . Ila mtoto alikuwa sio wake mmoja. Ila wanalea familia maana mke alimuokoa mume . Angemuua Kama angekuwa na plan hiyo .
Imagine alikua muathirika toka kitambo na hakukwambia mpaka umemuoa
 
Seen patients like these and Niliwasidia dna test . Simple tu . Mke Alipata umeme , alicheat after few months Akiwa mbali kikazi ,akamwambia mume wake tu kumuokoa maana they had 3 children . they are good . Ila mtoto alikuwa sio wake mmoja. Ila wanalea familia maana mke alimuokoa mume . Angemuua Kama angekuwa na plan hiyo .
Yeye hiv+ ameshakufa? Sema angemuambukiza.

sijui kwanini tunawabrand hiv + kama tayari weshakufa ilihali watu kibao -ve wanakufa wanawaacha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom