Nina mahaba na wewe unaesoma uzi huu..hakika ni mahaba ya dhati..
heey,pole pole..mwache uko uko alale..alafu mi memba wa CCB,so full raha
wanna see it?
wivu wangu wa kuchanana na viwembe hutoniweza
heey,pole pole..mwache uko uko alale..alafu mi memba wa CCB,so full raha
Donn njoo huku uone!
nataka nije nikutoe huko uwe mke mdogo
Nitarudi kesho . . . niandalie na jamvi kabisa! Alafu wewe mbona mvivu sana???????????????? Inakuwaje tangu April 2012 mpaka leo yaani we bado ni "member" tu??karibu ukae kabisa..
Nina mahaba na wewe unaesoma uzi huu..hakika ni mahaba ya dhati..