Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Anatakiwa aeleze yeye amenunuliwa shiling ngap na mafisadi ya ccm.
 
Amefilisika akili huyu !

Kwahiyo alitaka pesa za kujenga makao makuu ,ziibwe mahali au ailitaka jengo lijijenge bure bila gharama??
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Aseme tu anatafuta ajira
 
Ukiingia kwenye a/c yake ya inst kuna pozi za kinyarwanda mpak noma!

Demu wa Dotto…. , kama kuhama angehama wakati wa Magu … , naona Doto kapewa cheo wakidhani atabadilisha Hali ya hewa na kuwavuta wasukuma ..waliomshauri Hivi Mwenyekiti wanasahau kuwa hata Magu hakuwa msukuma …hawa ni Jamii ndogo sana ya wahamiaji wengi walikuwa kama vibarua wa wasukuma sasa hawa watoto wao wanajitambulisha huku dar kama wasukuma..lakini wakiwa kanda ya Ziwa wanajulikana kuwa wao sio wasukuma na hawana uwezo wa kuvutia wasukuma ….wanawadharau ..
Hata magu alikuwa hawapendi wasukuma au wahaya ..kwakuwa amekuwa Akiona wanawadharau wanawaita wahamiaji …
Nionyeshe msukuma mmoja original aliyenufaika na Magu …hawa kina Dotto , Kalemani, na wengine wote ni jamii moja na Magu…na hawana influence yeyote kwa msukuma original sana sana wana influence kwa watu wa jamii moja kama Upendo
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
HONGERA SANA MBUNGE MSALITI KWA KUSEMA UKWELI KWANI KUNA WAJINGA KWENYE CHAMA CHAKO KIPYA CCM WANABISHA KUWA LILE SIO JENGO LA CHADEMA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Kwani chama cha siasa kinafanya biashara tofauti na ruzuku? Au angependa ilinunuliwe na pesa kutoka chanzo gani?
Kuna mtu alituambia hapa kuwa ofisi hiyo imenunuliwa na pesa ambazo serikali imempatia mbowe ili anunue ofisi.
Kuna haja ya Moderator kuunganisha mada hizi mbili ili watu wapate kufanya mlinganisho na kuondoa kuchanganya was omari.
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania

Anyamaze Sasa. Asubirie Uteuzi wa ukuu wa Wilaya. Stupid.
 
Aliyeongea ni mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge Mstaafu

Nyie matutusa hamna mnachoelewa 🐼

Na wewe unamuamini?. Shida wakishamaliza kuropoka wanapoteza na kusahaulika. Unawakumbuka wale madada wawili waliohamia NCCR? Leo wapi wapi? Hana jipya.
 
Back
Top Bottom